Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

Huyo unayemtetea ndiye anaikamua JF mahakamani. Wewe endelea kumtetea inaezekana akaamuamuru DPP afute kesi.

Tanzania tuna CAG mwenye elimu ya kuunga unga.

Tz tuna CAG tuliye ambiwa hawezi kazi na akatumbuliwa.

Alafu mtu huyo huyo akamteua awe CAG... JE kama kazi ya TRA kashindwa atauweza U-CAG?

Only in tanzania.

Kwa mtindo huu Tanzania ya viwanda itaendelea kuwa wimbo wa jukwaani tu.

Pathetic!
 
Sasa crab mbona ni benki imefanya wonders nchi ni nakutengeneza fursa za ki benki kwa wananchi kila mahali nyie majority muna kulia wenyewe hakuna kitu pumba tupu kila kitu kinashuka umoja wa kitaifa umevunja munauwa sana sana mumeharibu mifuumo wa kazi elimu afya kila kitu zero munatukuza Mtu badala ya mifumo ya ki serikali ki sheria na kikatiba imefika mahali uchaguzi wa serikali za mitaa munaubomoa nyie zero hakuna cha kujifunza toka kwa Magufuli fisadi papa hataki kuchunguzwa ameweka CAG mwizi mwenziwe
 
Mbona mengine mnasemaga anamuenzi Julius, Tena sie tunaendekeza siasa? Alim demote mwenyewe just for curiosity watu wasihoji?! Mbona Kama kocha anatatizo na sio wachezaji au haya haya tuhusu basi tunawashauri man u tu
 


Umejawa na chuki sana, haina afya kwa maisha yako, huyo ceo wa crdb wala hakujui achilia mbali hata kujali kama una exist!
 
sio kila linalofanywa sababu halijavunja sheria basi ni sawa lifanyike.., kabla ya kufuata sheria inasemaje cha muhimu kujiuliza ni je alikuwa ana-fit kwenye kazi yake, kama anafit kwanini aondolewe.., na anayekuja ni bora zaidi ?, kama anapwaya basi ni vema ameondoka...

hayo mengine ni immaterial...
 
CAG hapaswi kutiliwa Shaka kichere tuliambiwa hawezi kazi hafai kwa nini amuweke Mtu alimtimuwa si amtawale awe anajadiliana Naye ipi ripoti itoke kama alivyouwa bunge na mahakama haha Magufuli a total failure lost case kabisa
 
Haitakuwa leo wala 2025 hatoki, uchaguzi unaokuja watu wake sasa wanakimbia ofisi. CAG hakutakiwa tangu mwanzo kwa sababu msema kweli, katka kipindi hiki msema kweli hastahili kuishi.
Tutaomba kwa Mungu aliye hai kadri ya imani zetu aiondoe nchi yetu toka mkononi mwa shetani huyu kwa njia atakayoona inafaa.
 
Sawa ila asingemchagua kilaza wa kwenda kufanyia majaribio kodi zetu. Tumeshachoka kuona vijana wanasoma na kupata shahada ila ajira hakuna, na wapiga domo wasio na elimu ndio wanapewa kazi serikalini.
Aha, sasa hili linaweza kuwa hoja; miye simjui huyo Kichere zaidi ya wakati alipoondolewa TRA... wengi waliona kama demotion fulani hivi.
 
Mbulula katika ubora wake!! Yaani wewe kula kulala uizidi Taasisi ya Urais?
 
Mwanakijiji hujasoma sehemu inayosema mtu aliyewahi kuwa CAG HARUSIWI KUFANYA KAZI NYINGINE YA UMMA??
Hebu jiridhishe kwanza
Then, ataenda kuendelea na shughuli zake nyingine za binafsi.
 
Kwa hiyo kwa mtaji huu sioni kosa laBenard Membe kugombea urais kwa ticket ya CCM dhidi ya mwenyekiti aliyepo madarakani ambaye yupo kwenye term ya kwanza ya miaka 5.
Tuache double standards
Ndio mambo kuchanganya; kuna mahali popote nimewahi kuhoji lengo la Membe kugombea Urais kupitia CCM au kuchukua fomu? Mbona hata siyo la kustahili kujadiliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…