Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

Rufiji hapa Sasa Ni kuhamisha magoli..hoja nzima jana ilikuwa ni kuvunjwa kwa Katiba. Tukubaliane kwanza Katiba haijavunjwa halafu tunaweza kuhamia huku kwingine.
 
Lakini pamoja na hayo bado elimu haitoshi sana kupewa U-CAG ,kigezo cha CPA kisengetosha kumpatia hicho cheo ,angalau angekuwa na PhD kidgo...any way hatuwezi kuhoji sana uteuz wa RAIS ila tumtakie Kaz njema .
CAG anatakiwa kuwa na PhD? Utoh alikuwa na shahada ngapi?
 
Huyu jamaa ana sifa zote za kuwa rais wa Tanzania.
1. Mweledi
2. Muadilifu
3. Mnyenyekevu
4. Mchapa kazi
5. Jasiri
6. Mthubutu
7. Hayumbishwi
Alipomtumbua Kichere mliimba nyimbo zile zile za kusifu Mtumbuaji. Leo kamrejesha tena kwa mbwembwe ninyi bila aibu mmeshatunga nyimbo mpya za kusifu na kuabudu.
 
Kwani CAG anatakiwa kuwa na sifa zipi
Lakini pamoja na hayo bado elimu haitoshi sana kupewa U-CAG ,kigezo cha CPA kisengetosha kumpatia hicho cheo ,angalau angekuwa na PhD kidgo...any way hatuwezi kuhoji sana uteuz wa RAIS ila tumtakie Kaz njema .
 
Maneno ya Mh Lissu yametimia "tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea"
 
Chadema ACT wamepoteana kabisa. You can see kuwa magufuli he is very smart [emoji3447] anawahangaisha mno mother https://jamii.app/JFUserGuide
CAG anatakiwa kuwa na PhD? Utoh alikuwa na shahada ngapi?
 
Unatakiwa kuonesha ni wapi hakuna mantiki. Ni wapi nilipokosea kwenye mantiki ili nipasahihishe au nikubali kuwa mantiki yangu haikufuata udhanifu.
Hii hoja ni ya kikatiba, sheria na kanuni. Maelezo yako yote, hakuna hata sehemu moja uliyoeleza katiba, sheria na kanuni zinasemaje. Kwa mtu kama wewe, hayo ni mapungufu makubwa!
 
Hilo linaeleweka..
Nafikri ulipaswa kuzungumzia credibility ya CAG mpya.
 
Hii hoja ni ya kikatiba, sheria na kanuni. Maelezo yako yote, hakuna hata sehemu moja uliyoeleza katiba, sheria na kanuni zinasemaje. Kwa mtu kama wewe, hayo ni mapungufu makubwa!
Utakua na uoni hafifu
 
Trilioni 1.5 jumlisha bilioni 28 ni shilingi ngapi?
 
reading together const&law🙁1)CAG’s term of office is fixed@5 yrs.he’s eligible for renewal but appt authority not compelled to do so.(2)If he reaches 65 b4 expiry of 5 yr term, he has to vacate office.(3)appt authority cannot remove him b4 5 yr or age 65 whichever is applicable.
Huyo ni Professor Shivji achana na vifungu vya akina Zitto
 
Tuambie pia chama unachokishabikia sasa hakilazimiki kumteua magufuli miaka mitano mingine
 
Sasa kama mnadai katiba imevunjwa, kulikuwa na haja gan ya kuweka ukomo wa miaka mitano kama mtu mwenyewe hatakiwi Kutoka mpaka miaka kumi? Ina maana miaka mitano iliwekwa kikatiba ili kuchekesha? Raisi ameona hamfai ndo mana amempiga chini istoshe hakuwa chaguo lake ....tumwombee tu Mzee aendelee na shughuli zake na cv yake ni nzuri tu anaweza pata kazi hata taasisi za kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…