Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

Wewe mtu hujui maana ya katiba na muongozo wa kanuni za taasisi ya umma. Umeandika hovyo hovyo mawazo ya kijinga ili yule mtu akuone. Mumeshaujua udhaifu wake imebaki kazi kwenu kujito ufahamu na kuweka akili pembeni. Kabla hujaandika madudu humu uwe unajiridhisha kwanza!

Sasa nakueleza. Magufuli kwa kuteua CAN mpya kavunja katiba ya nchi mchana kweupeee. Na hata tafsiri sahihi ya maneno yaliyopo kwenye kanuni zinazoongoza ofisi ya CAG hajaielewa achilia mbali kama tutajielekeza kwenye kanuni na kuitupa katiba kama yeye alivyofanya.

It is absurd vomiting like this without actually citing the specific clauses of katiba, at least to validate your claim

Una akili?
 
Kuna.wakat uzee unaweza kuwa co dawa kwa kupoteza kumbukumbu kilichomtoa Assad kila mwenye akili anakijua
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.
Mzee Mwanakijiji acha kupotosha ili mradi tu uweze kutetea uovu!! Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema:-
144.-(1) Without prejudice to the other provisions of this Article, the Controller and Auditor-General of the United Republic shall be obliged to vacate office upon attaining the age of sixty or any other age which shall be prescribed
by a law enacted by Parliament.
Kwenye masuala ya sheria, neno SHALL ni shuruti, na kinyume chake ni MAY!

Kwahiyo kwa mujibu wa Katiba CAG atalazimika kuacha ofisi akifikisha miaka 60, au umri wowote utakaotajwa na Bunge.

Umri uliotajwa na Bunge unapatikana kwenye Public Audit Act ya mwaka ambayo sio tu imetaja umri bali pia tenure in the office na nani atamteua CAG.

Ibara ya 4(1) Inasema:-
The Controller and Auditor-General shall be appointed by the President from among the citizens of the United Republic of Tanzania by birth.
Shuruti ya neno SHALL unaiona tena hapo inatumika unless kama unataka kutuambia mbali na Rais, kuna mamlaka nyingine inayoweza kumteua CAG.

Tenure in the office inasema:
The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only.
Hapo tena Public Audit inasema SHALL BE ELIGIBLE for renewal.

Sio hivyo, hapo juu Katiba imesema
the age of sixty or any other age which shall be prescribed
by a law enacted by Parliament
Kwamba atatakiwa kuachia ofisi akifikisha 60 au umri wowote utakaotajwa na sheria ya Bunge ambao ni:-
(2) Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office-
(a) upon attaining the age of sixty five years;

Kumbe Bunge lilipitisha sheria ya kumfanya auhudumu hadi miaka 65 isipokuwa tu kama atatolewa madarakani kwa makosa yanayohitaji investigation.

Tukija kwa Mussa Assad, huyu amezaliwa Oktoba 6, 1961. Kwa maana nyingine, anamaliza miaka 5 akiwa na miaka 58. tenure in the office inataka mkataba wa CAG uwe renewed provided hajafikisha miaka 65 (Katiba + Audit Act)

Assad atafikisha 65 mwaka 2026... kwa maana nyingine, hata akiongozewa miaka mingine 5 kama ambavyo Katiba inatamka, atamaliza miaka hiyo Novemba 2024, na atakuwa hajafikisha miaka 65 ambayo NDO LAZIMA AACHIE OFISI.

Haya wewe unaesema kwamba Rais halazimiki kumteua tena hebu tuwekee hapa vifungu!!

Aidha unadai eti
Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena;
SERIOUS? Yaani kwa uelewa wako neno ELIGIBLE tafsiri yake ni ANAWEZA?!

Narudia, kwenye sheria maneno yanayotumika kwa muktadha huu ni >>> mathalni "The President May" or "The President Shall".

Hiyo "anaweza" ambayo sio shuruti unayoisema wewe ni MAY na sio SHALL.
 
Wewe mtu hujui maana ya katiba na muongozo wa kanuni za taasisi ya umma. Umeandika hovyo hovyo mawazo ya kijinga ili yule mtu akuone. Mumeshaujua udhaifu wake imebaki kazi kwenu kujito ufahamu na kuweka akili pembeni. Kabla hujaandika madudu humu uwe unajiridhisha kwanza!

Sasa nakueleza. Magufuli kwa kuteua CAN mpya kavunja katiba ya nchi mchana kweupeee. Na hata tafsiri sahihi ya maneno yaliyopo kwenye kanuni zinazoongoza ofisi ya CAG hajaielewa achilia mbali kama tutajielekeza kwenye kanuni na kuitupa katiba kama yeye alivyofanya.
Weka vifungu hapa kwanza badala ya kuleta mihemuko kama jamaa yako Lema, inaonekana wewe ndie mbumbumbu,hoja inajengwa na hoja na sio vingine.
 
Hata kama muda wake ulifika kisheria.
Ila ukweli ni kwamba HAKUPENDWA.
Kufanya kazi kwake kwa usahihi kumemponza
 
Zitto ka edit CV ya Kichere na kuisambaza ili wajinga kama wewe uingie chaka kusambaza uongo. Alifanya hivyo hivyo kwa rais alipowaaminisha rais kafariki huku akifurahia na wewe idiot uliingia mkenge ukamsapoti kwa kusambaza ujinga kama ulivyosambaza leo idiot mkubwa
Mpelekeni mahakamani au mnamgwaya?
 
Eligibility does not mean certainty.
 
Hapa umeandika riwaya ya kufikirika maana hakuna hata kifungu kimoja cha sheria ulichoonesha kuegemea.

Unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi lakini kwa mambo yanayohusu sheria na katiba, nguvu ya hoja ni lazima iegemee kwenye vifungu vya katiba na sheria kuliko kuandika kama mpiga debe.
mkuu hebu nieleweshe bila ushabiku, kwa nini hii sheria iliwekewa intervals ya miaka mitano mitano?
 
hivi kwa nini kwenye sheria kuna intervals ya miaka mitano mitano mkuu? hebu jibu kiuhalisia...ingekuwa ni wewe kama unsona huwezi endelea na mtu na kuna a break at 5 years, ungefanyaje?
Mwanakijiji unaelewa unachochangia. Umri wa kustaafu ni miaka 60. CAG hajafikisha. Hapo amestaafu au amestaafishwa?

. Umri wa CAG kustaafu ni miaka 60
. Akistaafu haruhusiwi kuwa mtumishi wa umma
. Kama umri wa kustaafu haujafika, ina maana hajastaafu. Ataendelea kuwa mwajiriwa wa serikali kwa nafasi ipi bila ya kuwa mtumishi wa umma?
. Hiyo ndiyo sababu ya wakati wote tulipokuwa na uongozi wenye hekima, hakuna CAG aliyeondolewa kwenye nafasi yake kabla ya kufikisha umri wa miaka 60.
. Uongozi siyo sheria na kanuni pekee yake bali ni pamoja na busara ya kuamua ufanye nini ili kuepusha migongano.
 
Kichuguu si Mlima: CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli Imewatoa Ufahamu Sasa?
Na pia yawezekana kabisa kuwa mapenzi kwa Magufuli yamewapofusha na kuwatoa kabisa ufahamu watu wengi...wahenga walisema Love is blind!
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.
Je sheria kuu inasemaje?

Appointment of the Controller and Auditor-General

(1) The Controller and Auditor-General shall be appointed by the President from among the citizens of the United Republic of Tanzania by birth.

(2) On appointment of the Controller and Auditor-General, the President shall consider relevant professional qualifications, experience and leadership skills suitable for appointment to the post.

(3) Upon appointment of the Controller and Auditor-General, shall subscribe to the oath before the President.

(4) The Controller and Auditor-General shall, in addition to the terms and conditions specified in the Constitution, hold office on such other terms and conditions as may be provided in any written law.

Tenure of office

(1) The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only.

(2) Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and AuditorGeneral shall vacate office -

(a) upon attaining the age of sixty five years;

(b) if the Controller and Auditor-General resigns -

(i) on account of medical grounds or any other grounds which the President considers sufficient; or
(ii) by giving six months’ notice to the President.

Removal from office

The Controller and Auditor General may be removed from his office for reasons and procedures provided for under Article 144 of the Constitution.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa.
Je, Article 144(3) of the Constitution inasemaje?

144.- Removal from office of Controller and AuditorGeneral… Act No.15 of 1984 Art.43 Act No.12 of 1995 Art.19

(1) Without prejudice to the other provisions of this Article, the Controller and Auditor-General of the United Republic shall be obliged to vacate office upon attaining the age of sixty or any other age which shall be prescribed by a law enacted by Parliament.

(2) The Controller and Auditor-General may be removed from office only for inability to perform the functions of his office (either due to illness or to any other reason) or for misbehaviour or for violating the provisions of the law concerning the ethics of public leaders and shall not be so removed except in accordance with the provisions of subarticle (4) of this Article.

(3) If the President considers that the question of the removal of the Controller and Auditor-General from office under the provisions of this Article needs to be investigated, then the procedure shall be as follows:

(a) the President shall appoint a Special Tribunal which shall consist of a Chairman and not less than two other members. The Chairman and at least half of the other members of that Special Tribunal shall be persons who are or have been Judges of the High Court or of the Court of Appeal in any country within the Commonwealth; and

(b) the Special Tribunal shall investigate and submit report to the President on whole matter and shall advise him whether or not the Controller and Auditor General should be removed from office in accordance with the provisions of this Article on the grounds of inability to perform his functions due to illness or any other reason or on grounds of misbehaviour.

(4) If the Special Tribunal appointed in accordance with the provisions of subarticle (3) advises the President that the Controller and Auditor-General be removed from office on grounds of inability to perform functions of his office due to illness or any other reason or on grounds of misbehaviour, then the President shall remove him from office.

(5) If the question of removing the Controller and Auditor-General has been referred to a Special Tribunal for investigation pursuant to the provisions of this Article, the President may suspend the Controller and Auditor-General from office, and the President may at any time rescind the decision to suspend the Controller and Auditor-General and in any case such decision shall lapse if the Special Tribunal advises the President that the Controller and Auditor-General be not removed from office.

(6) A person who holds or who has held the office of Controller and Auditor-General shall not be appointed to, or act in, any other office in the service of the Government of the United Republic.

(7) The provisions of this Article shall not apply to any person appointed acting Controller and AuditorGeneral.

NB: Natanguliza samahani kwa wote ambao lugha iliyotumika itawakera kwa namna moja au nyingine ila ninavyoelewa hii nayo ni lugha rasmi ndani ya Jamhuri yetu. Tuvumiliane tu.
 
Mwanakijiji hujasoma sehemu inayosema mtu aliyewahi kuwa CAG HARUSIWI KUFANYA KAZI NYINGINE YA UMMA??
Hebu jiridhishe kwanza

Hii ni Ibara Ndogo ya 6 ndani ya Ibara ya 144 ya Katiba ya JMT,
Kwa mujibu wa Ibara hiyo ya 144(6) ya Katiba ya JMT, Prof Assad hawezi tena kurudi Chuo Kikuu kuendelea kufundisha na wala haruhusiwi tena kuteuliwa au kuendelea na Utumishi was Umma Serikalini.
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili: Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.
Tusitengeneze mlima toka kichuguu.

Kama kweli unajuwa unachoongea huwezi kusema atapangiwa kazi nyingine wakati katiba imekataza asifanye kazi nyingine ya umma baada ya kuwa CAG. Hivyo kumuomdoa kazini kabla hajafikisha miaka 60 na ikijulikana kuwa hawezi kufanya kazi nyingine hapo anakuwa ametendewa haki? Siyo kwamba waliokuwa wanawapa watangulizi wake vipindi viwili hawakuwa na akili waliona hilo tatizo.
 
Wewe mtu hujui maana ya katiba na muongozo wa kanuni za taasisi ya umma. Umeandika hovyo hovyo mawazo ya kijinga ili yule mtu akuone. Mumeshaujua udhaifu wake imebaki kazi kwenu kujito ufahamu na kuweka akili pembeni. Kabla hujaandika madudu humu uwe unajiridhisha kwanza!

Sasa nakueleza. Magufuli kwa kuteua CAN mpya kavunja katiba ya nchi mchana kweupeee. Na hata tafsiri sahihi ya maneno yaliyopo kwenye kanuni zinazoongoza ofisi ya CAG hajaielewa achilia mbali kama tutajielekeza kwenye kanuni na kuitupa katiba kama yeye alivyofanya.

Ukiwa mpumbavu ni vizuri ukauficha. Pole sana.
 
Mimi swali langu ni hili mmk. Ikiwa kichere alitumbuliwa kwa kejeli kuwa hajui kazi yake huko tra. Leo hii kumuweka kuwa cag inamaana ameshajua kazi yake?
Kesi ya kichere ilikuwa upole na wala siyo uzembe. Kichere haendi kukagua halmashauri bali vijana wake so muacheni afanye kazi
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili: Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.
Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
CAG anakwenda mpaka 65 ndo anastaafu kwa lazima. Ila kwa mitano ya kwanza ya u CAG ikiisha anaweza ongezewa muda. Ila naona this time Assad hajaongezewa muda kama ilivyokuwa kwa Ludovic.
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili: Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.
Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Kwa hili la CAG, ni wazi kabisa kuwa MAGUFULI ndiye rais fisadi kuliko wote waliomtangulia. Hakukuwa na Rais aliyeogopa CAG MKWELI.....hakukuwa
 
Utahangaika sana na JPM lakini ukweli utabaki kuwa ukweli zile pesa mlizokuwa mnakula mtazitapika tu mtake mstake. Hapa kazi tu JPM
ila yeye (JPM) ndi hatakiwi kuzitapika?
 
Wazee wa kusini walijaribu kumuondoa kwa kutumia moshi! Ikashindikana!....

Maombi pamoja na majaribio yakiwa mengi naamini mungu atamuondoa kwa kadiri apendavo yeye!
Tutaomba kwa Mungu aliye hai kadri ya imani zetu aiondoe nchi yetu toka mkononi mwa shetani huyu kwa njia atakayoona inafaa.
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili: Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.
Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Kuna story moja ya Little Red Riding Hood, mtoto alikuwa analia wolf wolf.

Analia uongo.

Watu wakija kumfukuza wolf anacheka.

Siku moja ikatokea kweli kuna wolf, kalia wolf wolf.

Watu wakasema huyu kawaida yake kulia wolf uongo.

Wapinzani wanaosema Magufuli kavunja katiba wanalia wolf, ama kwa kutojua katiba, ama kwa kuongooa ili kuendeleza siasa zao.

Hili ni jambo baya sana.

Kwa sababu, hatuna ukame wa visa vya Magufuli kuvunja katiba.

Mfano, marufuku za mikutano ya kisiasa ni kuvunja katiba.

Sasa, mtu ambaye kashavunja katiba for real, kwa nini wanamtungia uongo kwamba kavunja katiba?

Kinachotokea sasa, wanampa Magufuli msemo kwamba hawa wapinzani kazi yao kupinga tu.

Granted, inaonekana Magufuli kamtoa CAG kwa sababu Assad ana msimamo. Lakini kumtoa Assad kwa sababu Assad ana msimamo si kuvunja katiba.

Jambo kama ATCL, shirika ambalo rais kaliendesha kisiasa sana, kukingiwa kifua lisiwe audited, linaonesha kwamba serikali haina imani na CAG, inaogooa anaweza kufichua madudu.

Kwa hiyo, nataka nieleweke kwamba simtetei Magufuli kwa kusema amemuondoa Assad kwa nia nzuri.

Lakini, mambo ya nia kuthibitisha ni vigumu sana.

Tunachoweza kuthibitisha ni kwamba, Magufuli hajavunja sheria kuto renew mkataba wa CAG Assad. Hakuna sehemu anapolazimishwa ku renew mkataba.
 
Back
Top Bottom