Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

Mimi swali langu ni hili mmk. Ikiwa kichere alitumbuliwa kwa kejeli kuwa hajui kazi yake huko tra. Leo hii kumuweka kuwa cag inamaana ameshajua kazi yake?
Haya NI maswali magumu Sana kwa MM wa awamu ya tano,ingekuwa huko nyuma,enzi anamkosoa Jk,angejibu kwa kuandika kitabu🚮🚮
 
Umekuwa lawyer mtafisiri sheria siku hizi?Tumeoma pahala opinion za manguli wa sheria kama Prof. Shivji.
Labda utupe ufafanuzi.
Ndio maana ya kutoa maoni tu; miye siyo mahakama hata Shivji si mahakama. Mfasiri wa sheria ni Mahakama. Sisi wengine tunatoa maoni yetu kama wengine wanavyotoa ya kwao.
 
Sasa ndugu zangu, issue ambayo imeibuliwa hata na Shivji na wengine inawezekana iko sahihi kwa kuangalia sheria - kwamba kuna ukiukwaji wa Katiba. Lakini sisi sote kuamua hivyo au kuona hivyo hakufanyi kuwe hivyo. Ni maoni yetu tu kwa kadiri tunavyoelewa. La maana na kubwa ni kuwa Assad kama anaamini Magufuli hakuwa na madaraka au hakufuata mchakato wa kumuondoa madarakani kesho anatakiwa arudi kazini na kusema kuwa hajaondolewa kwa utaratibu uliowekwa kikatiba. Anaenda Mahakamani na kupinga kuondolewa kwake madarakani. Mahakama inaweza kuweka injunction CAG mteuliwa asiende kazini hadi hoja ya msingi ya Kikatiba iamuliwe. Nje ya hapo, kuna vipengele vingine vya Katiba ambavyo vinaweza kuonekana kumpa Rais madaraka ya kufanya alivyofanya
 
Vitaje hivo vipengele vya katiba vinavyoweza kumpa haya madaraka ...usiseme Kama kioepeo!
 
Ndio maana ya kutoa maoni tu; miye siyo mahakama hata Shivji si mahakama. Mfasiri wa sheria ni Mahakama. Sisi wengine tunatoa maoni yetu kama wengine wanavyotoa ya kwao.
Hata mimi nina ya kwangu. Lakini maoni ya mtu kama Shijvi kwenye muktadha huu, yana uzito wake.
Naelewa yeye si mahakama. Kama ikivyo sehemu nyingine, anateua majaji kukudhi kiu yake ya kututawala kama viazi mbatata.
 
Nime
Sasa ndugu zangu, issue ambayo imeibuliwa hata na Shivji na wengine inawezekana iko sahihi kwa kuangalia sheria - kwamba kuna ukiukwaji wa Katiba. Lakini sisi sote kuamua hivyo au kuona hivyo hakufanyi kuwe hivyo. Ni maoni yetu tu kwa kadiri tunavyoelewa. La maana na kubwa ni kuwa Assad kama anaamini Magufuli hakuwa na madaraka au hakufuata mchakato wa kumuondoa madarakani kesho anatakiwa arudi kazini na kusema kuwa hajaondolewa kwa utaratibu uliowekwa kikatiba. Anaenda Mahakamani na kupinga kuondolewa kwake madarakani. Mahakama inaweza kuweka injunction CAG mteuliwa asiende kazini hadi hoja ya msingi ya Kikatiba iamuliwe. Nje ya hapo, kuna vipengele vingine vya Katiba ambavyo vinaweza kuonekana kumpa Rais madaraka ya kufanya alivyofanya
Nimemsikia akihojiwa BBC amesema hili tukio anachukulia kama termination na mgawa ridhiki ni Allah kwahiyo hatahangaika kufatilia
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili:

Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.

Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Mhmhh....interesting
Mahaba ya kisiasa pande zote zimetufikisha hapa
 
Kwa maana hiyo pia hakuna ulazima wa kuchugua Rais huyo huyo kwa awamu mbili za miaka mitano mitano...

Ila sasa mbona tunalazimishana...

Cc: mahondaw
 
Hawajamteua tena kwa faida ya nani?

Yaani watanzania ni watu wa ajabu sana. Ushabiki unawafanya wasahau kuwa Mh Rais naye ni binadamu kama bimadamu wengine
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili:

Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.

Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Hata kama kusoma hujui hata mchoro uoni?au Uzee?kwanza unamtetea mtu ambaye kwa kwinya chake amemwambia huyo aliemteua kwamba hata mwaka 1 akikaa anaweza kumuondoa?Je katiba iko ivo?Yeye anasema hakuna duniani aliyepewa mamlaka ya kuteua na asipewe ya kutengua?Kama umemsikiliza vizur bila ushabiki,utagundua kuna mahali kuna shida!
 
Huyo Mwanakijiji ameshageuza mambo muhimu ya nchi kuwa kama gemu au mchezo fulani maadamu Magufuli ndo timu yake basi hata umpe reasoning gani atakukatalia tu!
Hana tena reasoning, logic, common sense bali anaendeshwa na ushabiki kama wa mpira.

Si vizuri kumchukulia serious katika mambo muhimu ya kitaifa kama haya.

Mwanakijiji ameshapoteza objectivity linapokuja suala la kujadili suala la uongozi usiozingatia sheria na kuheshimu katiba wa John Pombe Magufuli
 
Hata mimi nina ya kwangu. Lakini maoni ya mtu kama Shijvi kwenye muktadha huu, yana uzito wake.
Naelewa yeye si mahakama. Kama ikivyo sehemu nyingine, anateua majaji kukudhi kiu yake ya kututawala kama viazi mbatata.

Exactly; lakini jambo hili huwa nalisema mara nyingi; kama kuna viongozi hawakubaliani na Rais wanatakiwa kujiuzulu na kupinga. Hili linahusisha majaji au watu wengine. Lakini watu wanaweza kuwa wananung'unika pembeni; huu siyo uongozi.
 
Mimi swali langu ni hili mmk. Ikiwa kichere alitumbuliwa kwa kejeli kuwa hajui kazi yake huko tra. Leo hii kumuweka kuwa cag inamaana ameshajua kazi yake?
Huyo Kichele ameteuliwa kwa sababu ni very humble na hana makuu.
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili:

Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.

Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Hata ukisemaje haisaidii,jiwe mwenyewe kathibitisha kwamba hataki Prof Assad
 
Exactly; lakini jambo hili huwa nalisema mara nyingi; kama kuna viongozi hawakubaliani na Rais wanatakiwa kujiuzulu na kupinga. Hili linahusisha majaji au watu wengine. Lakini watu wanaweza kuwa wananung'unika pembeni; huu siyo uongozi.

Yaani Majaji wajiuzulu kupinga JPM anavyoongoza nchi au unaaminisha nini?

Wao ni wa mhimili wa mahakama!
 
Exactly; lakini jambo hili huwa nalisema mara nyingi; kama kuna viongozi hawakubaliani na Rais wanatakiwa kujiuzulu na kupinga. Hili linahusisha majaji au watu wengine. Lakini watu wanaweza kuwa wananung'unika pembeni; huu siyo uongozi.
Anaweza asijiuzuru na akaendelea na kazi yake kwa uadilifu.
Lengo lao ilikuwa CAG ajiuzuru ili wafanye mambo yao.
 
Sio habari ya Weledi ni habari ya ww katushikie pale
Mimi swali langu ni hili mmk. Ikiwa kichere alitumbuliwa kwa kejeli kuwa hajui kazi yake huko tra. Leo hii kumuweka kuwa cag inamaana ameshajua kazi yake?
 
Jiwe kapoteza heshima yako kabisa humu jukwaani

Back
Top Bottom