Kichuya:Niliua off-side,ni mechi ya Mbeya City

Kipa amesema simba ni timu kubwa....so yanga tulieni
 
Kwanini malalamiko yatoke kwa yanga?
 
Ndio takwimu gani hizo! Mbona mnazungumzia takwimu za Yanga akiwa hana akina Kamu, Ngoma na Tambwe?
Jisikie aibu,ina maana Yanga ni kubwa kuliko Kamusoko!bila hao timu haiendi?wasiporudi bahati mbaya je
 
Kama hukuwepo uwanjani basi hupaswi kukataa maelezo ya kichuya maana kwa tuliongalia mpira kwenye luninga hatukuona mwanzo wa move ispokuwa tumekuja kuona kichuya kachomoka na beki mmoja nyuma ndo analilia offside

ila kama camera zingekuwa kwenye angle nzuri basi wote tungeongea lugha moja, kwa upande wangu mimi hadi leo sijui kama lile goli la offside au onside hivo tuache ushabiki wa kitoto, kutolea ufafanuzi kitu ambacho hujakiona
 
mkuu mara ngapi una ona kwenye kideo mchezaji anajaribu ku epuka mchezo wa offside trick na anafeli. ila hapa unataka niyachukue maelezo ya kichuya (mtuhumiwa) kwamba ni sahihi.

ko kwa akili yako kubwa unadhani kichuya anaweza sema aliotea.
 
mkuu mara ngapi una ona kwenye kideo mchezaji anajaribu ku epuka mchezo wa offside trick na anafeli. ila hapa unataka niyachukue maelezo ya kichuya (mtuhumiwa) kwamba ni sahihi.

ko kwa akili yako kubwa unadhani kichuya anaweza sema aliotea.
Watanzania sijui tukoje hujajibu swali unaanza kuingiza mambo ya akili kubwa, ndio nina akili kubwa wala hujakosea ndomana nauliza ulikuwepo uwanjani? Kama uliangalia kwa luninga kama sisi basi huna uhakika na unachosema maana video inayoonesha goli haikupi % kusema kuwa ile ni offside labda kama ufate mapenzi ya moyo wako tu
 
Waamuzi wa mechi kama hizi huwa Hadija Manara anawapenda sana//
 
Tambwe akichukua mpira kimbinu viti vyoote vikang'olewa
Mkuu huwa napita tu humu kusoma comments za watu, ila hii yako nimecheka sana kwa sauti hadi daladala nzima wamenishangaa..... Offside fc wabishi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…