Kichwa hiki kinasema: Inavyoonekana wasomi viongozi wa nchi za magharibi wamesahau ni nani aliyeushinda utawala wa unazi kwenye vita kuu ya pili

Kichwa hiki kinasema: Inavyoonekana wasomi viongozi wa nchi za magharibi wamesahau ni nani aliyeushinda utawala wa unazi kwenye vita kuu ya pili

Kwa waelewa wote wa namna dunia inakwenda, putin ameamua kutukomboa na ushetan na unyonyaji wa west. Tumwombee
Kwa kuivamia ukraine ? Kwamb akiipiga ukraine anakuwa kawakomboa , jf siku hz ina vilaza asee
 
Urusi alikuwa supapawa kabla hata ya Usa. Mambo mengi sana Usa amejifunza kutoka kwa Urusi.
Duh hz story mnatoaga wap ? Kabla ya WW1 Britain , France na Germany ndo yalikuwa mataifa makubwa kiuchumi duniani , Urusi ni mpenz mtazamaj tang zama na zama , hajawai kuwa superpower mpk WW1&2 alipofanikiwa kuunda USSR mwaka 1917 na kueneza sera zake za ujamaa duniani kote ila USSR ilianguka baada ya kujisahau kwa kuwekeza nguvu nying kweny kuupigania ujamaa na kusahau mambo yake ya ndani,USSR iliparanganyika na kurudi kuwa Urusi ya sasa kiande kinachoshikishww ukuta na Zele
 
Back
Top Bottom