nataka tu aelewe kujua kusoma na kuandikaKama yuko private mhamishe mpeleke kayumba
Hauko peke yakoHabari za wakati huu ndugu zangu wa JF heri ya Pasaka kwenu , Natumaini mnamalizia pasaka vema, kwa wenye changamoto poleni sana,
Ndugu zangu wakati mkiwa mnasherekea na kumalizia sikukuu kesho pia ni kazini na vibaruani pia kwa Watoto wanaenda shule,
Nimeanzisha Uzi muda umekosa wachangiaji unasema Ushirikiano na Moyo Nina Hali ngumu kwa Sasa na mtoto anataka kwenda shule ila Nina deni nadaiwa shuleni linaniumiza kichwa sana kila siku ni ahadi walimu najua wameshanichoka
Naona nimefail kumpa mtoto elimu nimekata tamaa😢😭 nisaidie wadau🙏naona uchungu sana, kazi ni za kubangaiza lakini mtoto asomee
Kwani kayumba hawafundishi kusoma na kuandika?nataka tu aelewe kujua kusoma na kuandika
Wanaogopa wataonekajeKwani kayumba hawafundishi kusoma na kuandika?
ili akija kugombea kama ni upinzani waseme hajui kusoma na kuandika hata kama ana digiriikujua kusoma na kuandika tuuu?
Niko tayari kukopeshwa ndugu zangu ata kuweka kitamburisho cha nida reani nipate ni sh elfu 50000 tu ntakuwa nalipa pole pole nipo tayari kwa lolote
Sawa upo tayari kukopeshwa issue wakopeshaji, je nao wapo tayari kukukopesha?Niko tayari kukopeshwa ndugu zangu ata kuweka kitamburisho cha nida reani nipate ni sh elfu 50000 tu ntakuwa nalipa pole pole nipo tayari kwa lolote
Naona kama hauelewi somo..Niko tayari kukopeshwa ndugu zangu ata kuweka kitamburisho cha nida reani nipate ni sh elfu 50000 tu ntakuwa nalipa pole pole nipo tayari kwa lolote
Hiyo 50,000 ndio ada unayodaiwa?Niko tayari kukopeshwa ndugu zangu ata kuweka kitamburisho cha nida reani nipate ni sh elfu 50000 tu ntakuwa nalipa pole pole nipo tayari kwa lolote