jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,908
- 15,013
Tafuta kazi ndugu yangu yaani fanya kazi usichague kazi angalia utakuja kudhalilika sana. Hiyo 50k nikwamba unataka utatue shida zako binafsi sii kwamba unataka kupeleka shuleni.Niko tayari kukopeshwa ndugu zangu ata kuweka kitamburisho cha nida reani nipate ni sh elfu 50000 tu ntakuwa nalipa pole pole nipo tayari kwa lolote