Kichwa kinauma sana nimeshindwa kwa maana nimefail

Niko tayari kukopeshwa ndugu zangu ata kuweka kitamburisho cha nida reani nipate ni sh elfu 50000 tu ntakuwa nalipa pole pole nipo tayari kwa lolote
Tafuta kazi ndugu yangu yaani fanya kazi usichague kazi angalia utakuja kudhalilika sana. Hiyo 50k nikwamba unataka utatue shida zako binafsi sii kwamba unataka kupeleka shuleni.
 
Sasa kwann usimpeleke kayumba kama za kulipia zimekushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…