Yawezekana ni gia ya kuomba pambano
Mabondia akili zao wanazijua wenyewe
Huyu kijana keshalewa sifa. Hataki kukosolewa.
Huyo dogo Ni undispln Sana hasa maeneo ya kwako huko tanga Ila mdigo huyo kujiona Jambo la kawaida ila mwanzo wa kuanguka ndio huu
Anashindwa kuelewa kuwa maneno yake yanaishi na yatamhukumu mbelen
Akitaka mapambano aombe tu mbona vijana weng wapo tu shughuri ataiyona
Kumtusi matumla Ni kuitusi tasnia ya ndondi na wanandondi wote wa dar Kaz anayo mwakinyo
Mtoa mada nataka nikuombee pambano na mwaki
Miaka 24 nafikiri bado yu kijana sana, tumsameheni na tumpeni tena nafasi.
Kweli umri pia unachangia..kumbe ni rika na kina da vinci
Sio kuponda kaongea ukweli tatizo tukiambiwa tunalalamka SanaSipendi ngumi ila Matumla kakosea kumponda Mwakinyo...Haya ndio mambo ya Pele kuponda wachezaji wa sasa..unachanwa tu wewe nani
Jinsi ya kumkosoa Mwakinyo ni kumwekea rekodi za mapambano yake rasmi ya kugombea mikanda na kuweka ya Matumla.
Pia kuweka rekodi za wanafunzi wa Mwalimu wa Mwakinyo na za Wanafunzi wa Matumla.
Kisha kumwambia nini ajifunze toka kwa Matumla kama amezidiwa yeye na Kambi yake. Lakini kama Kambi ya Mwakinyo ina rekodi nzuri basi Matumla awe mpole.
Anaweza kukosoa lakini lazima ajue na akubali sio kila atakachokosoa kitakubaliwa hasa kama anae mkosoa ana mafanikio kwenye kile anachomkosoa kuliko yeye.Hivi kwani arsene wenger hawezi kukosoa mbinu za jose Mourinho??
Japo Mourinho anaweza kua na vikombe vikubwa kumzidi wenger??
Nmeskia clip yake alafu alivyokuwa mjinga anasema matumla kabakia kuvaa masuruali makubwa kama Tupac....Pumbavu ametoa Kauli hiyo akiwa anahojiwa na Wasafi fm, Clouds fm na mapema tu wakati Kipindi cha Sports Headquarters cha Efm leo asubuhi amezungumza tena na nina uhakika Watu wote waliosikiliza hizo Redio jana Usiku na hadi leo Asubuhi wamamsikia huyo Bondia ' Mpuuzi ' Mwenzio Mwakinyo.
Yeah....Matumla ndio icon ya ngumi tz
Fal sana huyuBondia Hassan Mwakinyo ambae amekua gumzo nchini na nje ya nchi kwa ushindi wa kijecha jecha kazua tena tafrani baada ya kumtusi na kumtole maneno machafu legendary wa masumbwi nchini Rashid Matumla.
Matumla alikosoa mbinu za kocha wa Mwakinyo kama watu wengine wa kawaida na mwanamichezo wa kawaida, lakini kitendo hicho kimemkasirisha Mwakinyo na kuanza kufoka na kutupa matusi mazito mazito kwa Matumla kua yeye hajui lolote kuhusu ndondi ndio maana hajafika popote na hata watoto wake hawajafika popote kindondi. Mwakinyo kaenda mbali zaidi na kusema lazima Matumla akamuangukie kocha wake amuombe msamaha mara moja la sivyo bifu itakua kubwa na hakuna wakuizima. Mwakinyo amemkejeli Matumla kua alikua anapigwa kama mtoto na kupoteza mapambano mfululizo.
Hakika pata pesa na umaarufu tujue tabia zako, kijana huyu naona kawasahau watanzania kwanza katuita wapumbavu.
Ni muda sasa wakutupa kwenye dustbin huyu dogo asiekua na heshima kwa waliomtangulia, kama alikua hataki kukosolewa angeenda kupigania chumbani kwake