Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Naona unachanganya mafaili kama hujui uliza usaidiweKubwa alilofanya Matumla kubeba ngada na juishia jela Addis Ababa Ethiopia..
Waliomzunguka ndio washenzi, wanamdanganya sana, huwezi kuwa bondia mkubwa Tanzania halafu unampuuza mtu kama Rashid Matumla, huyu dogo ni mpuuzi sana, nilikuwa namuunga mkono naona atafika mbali kumbe akili hana kabisa, mabondia wakubwa kuwa wanajifunza kabisa namna ya kufanya mahojiano, huwezi kukuta wameongea utumbo kama huyu dogo.Binafsi nimezaliwa tanga nakukulia tanga, nimesoma mkwakwani primary na nasekondary nimesoma mkwakwani pia, nimebahatika kuwaona mabondia wengi kutokea tanga tangu miaka ya 90 mpka sasa.
Huyo mtoto mwakinyo tangu mwanzo hakua nahaiba ya ubondia kabisa. Crew yake anayozunguka nayo nimbovu nahiwez kumjenga kua boxer mzuri. Huwez kua bondia toka tanga afu ukawa mshamba kias hiki
Dogo mwakinyo omba radhi haraka sana!!!!!
Siyo huko tu,clip yake imesambaa mitandao ni,huyu atakuwa anatumia kitochi 4GPumbavu ametoa Kauli hiyo akiwa anahojiwa na Wasafi fm, Clouds fm na mapema tu wakati Kipindi cha Sports Headquarters cha Efm leo asubuhi amezungumza tena na nina uhakika Watu wote waliosikiliza hizo Redio jana Usiku na hadi leo Asubuhi wamamsikia huyo Bondia ' Mpuuzi ' Mwenzio Mwakinyo.
Namì nasema matumla ni mpuuzi! Hana kitu cha kujivunia zaidi ya jina snake boy. Hajui hata uchambuzi. Mwakinyo baba lao.Pumbavu ametoa Kauli hiyo akiwa anahojiwa na Wasafi fm, Clouds fm na mapema tu wakati Kipindi cha Sports Headquarters cha Efm leo asubuhi amezungumza tena na nina uhakika Watu wote waliosikiliza hizo Redio jana Usiku na hadi leo Asubuhi wamamsikia huyo Bondia ' Mpuuzi ' Mwenzio Mwakinyo.
Acha mikwara kwenye keyboard wewe...Tena afanye hivyo ndani ya Saa 24 au 48 au 72 kabisa vinginevyo Moto aliouwasha unaenda Kumuunguza na hatoamini Macho na Masikio yake.
NyambafuNamì nasema matumla ni mpuuzi! Hana kitu cha kujivunia zaidi ya jina snake boy. Hajui hata uchambuzi. Mwakinyo baba lao.
Naunga mkono wazo lako kiongoziNadhani mabondia nao wawe kama taasisi yenye kuhusisha watu mbali mbali wenye weredi. Sio akijisikia tu kuropoka anaropoka. Yeye kazi yake iwe mazoezi na kupigana tu.
acha kubishana na bondia utapingwa ngumi ya matakoHivi atasemaje kuwa Rashid Matumla si Bondia chochote na lolote na kwamba hajawahi Kufanya Jambo Kubwa Tanzania wakati Kirekodi inajulikana kwamba Rashid Matumla ni Bondia mwenye Mafanikio Makubwa kuwahi Kutokea nchini Tanzania ambapo ameshacheza sana Ngumi za Ridhaa, amecheza Olympic na pia amecheza Michezo mingi ya Kulipwa ambayo nina uhakika kwa ' Upumbavu ' na ' Ushamba ' wa Bondia Mwakinyo hatoweza Kufikia na hana hata huo Ubavu.
Amuombe Radhi upesi sana. Na leo kwa Kujiamini kabisa nasisitiza na narudia tena Kusema kuwa Bondia Mwakinyo Juzi hakushinda ila ' alibebwa ' tu na hana Uwezo huo wa Kupigana isipokuwa tu anabebwa na ' Promo ' huku akitumika kwa Chama fulani Kujiimarisha Kisiasa na ' Kipopraganda ' mbele ya Mafanikio yake Kimichezo kwa Watanzania.
Na ' Management ' nzima na wale walio nyuma ya huyu Bondia wa ' hovyo hovyo ' Mwakinyo kutoka Mkoani Tanga kama wasipokuwa makini nae hasa katika Kumjenga Kinidhamu na Kimichezo kuna Siku atakuja Kuwagharimu na hawatowaamini macho na masikio yao. Bondia mwenye ' Maadili ' kamwe hawezi ' Kupayuka ' hovyo na Kuendeleza ' Uswahili ' kama alionao na alivyofanya Yeye Mwakinyo.
Wote hawajielewi.
Kama kweli Matumla anajiheshimu,hakupaswa kusema kinyume na mwenzake.Kajibiwa kwa kadri ya alichokisema
Anawazee wake waganga wakienyeji anakuanao Marakwamara ndowanamjaza huo ujinga.Waliomzunguka ndio washenzi, wanamdanganya sana, huwezi kuwa bondia mkubwa Tanzania halafu unampuuza mtu kama Rashid Matumla, huyu dogo ni mpuuzi sana, nilikuwa namuunga mkono naona atafika mbali kumbe akili hana kabisa, mabondia wakubwa kuwa wanajifunza kabisa namna ya kufanya mahojiano, huwezi kukuta wameongea utumbo kama huyu dogo.
hata kama matumla kafanya vizuri kiasi gani hana haki ya kumtukana mwakinyo.
Alichokifanya mwakinyo ni sahihi wala asilaumiwe , Matumla ni mpuuzi tu.
Harafu kujifanya unajua kila kitu!! kumbe una uelewa mdogo sana, kudhihirisha ilo lazima uongee maneno ya jumla kumfedheesha Mtu.
Unaleta mada uku una unataka wote tuwe kwenye fikra zako huo ni umbumbuu.. Binafsi nakuona hujui chochote na wewe ni kiongozi wa Mbumbumbu usibishe.
Wewe huna cha kuniambia na huna IQ kunizidi Kengere wewe.. Unajiona upo juu kumbe Pimbi mmoja.
Basi sawa na ubarikiwe sana ngoja nivute Bangi maana midaa ndio hii sitakiwi kupoteza muda Ndugu.Ninalolisema / Ninaloliona Mimi jua hata Mwenyezi Mungu nae pamoja na Malaika wake Jibril na Mikaela nao wameliona vile vile.
Thubutu yako!! Nikisimama sehemu yoyote na wewe kwa lolote utaonekana mlevi mmoja wa Gongo trust me.Ukoo wako kwa miaka 65 sasa unahangaika angalau kupata Mtu Mmoja wenye 15% tu ya IQ aliyonayo GENTAMYCINE lakini bado haijambahatisha.