Kichwani kwa Bondia Mwakinyo kupo sawa sawa? Amuombe Radhi upesi sana ' Legend ' Rashid Matumla kabla hajatuudhi zaidi

Kichwani kwa Bondia Mwakinyo kupo sawa sawa? Amuombe Radhi upesi sana ' Legend ' Rashid Matumla kabla hajatuudhi zaidi

Binafsi nimezaliwa tanga nakukulia tanga, nimesoma mkwakwani primary na nasekondary nimesoma mkwakwani pia, nimebahatika kuwaona mabondia wengi kutokea tanga tangu miaka ya 90 mpka sasa.
Huyo mtoto mwakinyo tangu mwanzo hakua nahaiba ya ubondia kabisa. Crew yake anayozunguka nayo nimbovu nahiwez kumjenga kua boxer mzuri. Huwez kua bondia toka tanga afu ukawa mshamba kias hiki
Waliomzunguka ndio washenzi, wanamdanganya sana, huwezi kuwa bondia mkubwa Tanzania halafu unampuuza mtu kama Rashid Matumla, huyu dogo ni mpuuzi sana, nilikuwa namuunga mkono naona atafika mbali kumbe akili hana kabisa, mabondia wakubwa kuwa wanajifunza kabisa namna ya kufanya mahojiano, huwezi kukuta wameongea utumbo kama huyu dogo.
 
Pumbavu ametoa Kauli hiyo akiwa anahojiwa na Wasafi fm, Clouds fm na mapema tu wakati Kipindi cha Sports Headquarters cha Efm leo asubuhi amezungumza tena na nina uhakika Watu wote waliosikiliza hizo Redio jana Usiku na hadi leo Asubuhi wamamsikia huyo Bondia ' Mpuuzi ' Mwenzio Mwakinyo.
Siyo huko tu,clip yake imesambaa mitandao ni,huyu atakuwa anatumia kitochi 4G
 
Pumbavu ametoa Kauli hiyo akiwa anahojiwa na Wasafi fm, Clouds fm na mapema tu wakati Kipindi cha Sports Headquarters cha Efm leo asubuhi amezungumza tena na nina uhakika Watu wote waliosikiliza hizo Redio jana Usiku na hadi leo Asubuhi wamamsikia huyo Bondia ' Mpuuzi ' Mwenzio Mwakinyo.
Namì nasema matumla ni mpuuzi! Hana kitu cha kujivunia zaidi ya jina snake boy. Hajui hata uchambuzi. Mwakinyo baba lao.
 
Wote hawajielewi.
Kama kweli Matumla anajiheshimu,hakupaswa kusema kinyume na mwenzake.Kajibiwa kwa kadri ya alichokisema
 
Tatizo Watanzania tuna Wivu sana Mtu akishaanza kupata mafanikio tuna mkalia kooni, Hassan Mwakinyo jr ana displin kubwa sana kuliko mnavyo mchukulia.

Nakumbuka Pambano lake la kwanza nje ya Nchi nilimrecord na kuwarushia baadhi ya Media na Watu Mashuhuri wengi ikiwemo Mpaka tajiri namba moja hapa Tanzania nikiamini anaweza kufanya jambo maana niliona uwezo wake.

Dogo alinitafuta na kunishukuru sana hakika ni Mtu ambae kalelewa katika Misingi ya nidhamu, Shida yetu baadhi ya Watanzania ni WIVU na pia NEGATIVE sana.

Huyo Matumla NEGATIVE zake ndio zimemperekea kujibiwa hivyo, na kajibiwa UKWELI.. kama aliona kuna Mapungufu asinge shindwa kumtafuta Cocha wa Hassan Mwakinyo Jr na kutoa ushauli wake kama Legendary.. Matokeo yake anaongea upuuzi uliojaa WIVU.

Ndugu Hassan Mwakinyo Jr naomba ujue kabisa kuwa sisi Watanzania tunataka ila atujui tunataka nini!! Naomba uongeze Mazoezi sana na ukae kimya wengine walikuwa hawasikiki wamefulia sasa wanataka kusikika kupitia wewe, kaaa kimya piga zoezi natumaini siku moja watakaa kimya.

One love na hongera kwa kuleta hamasa kubwa za Ndondi Nchini wewe ni Champion Man Big up sana na utafika mbali trust Kanyeeeela Mumo.
 
Hivi atasemaje kuwa Rashid Matumla si Bondia chochote na lolote na kwamba hajawahi Kufanya Jambo Kubwa Tanzania wakati Kirekodi inajulikana kwamba Rashid Matumla ni Bondia mwenye Mafanikio Makubwa kuwahi Kutokea nchini Tanzania ambapo ameshacheza sana Ngumi za Ridhaa, amecheza Olympic na pia amecheza Michezo mingi ya Kulipwa ambayo nina uhakika kwa ' Upumbavu ' na ' Ushamba ' wa Bondia Mwakinyo hatoweza Kufikia na hana hata huo Ubavu.

Amuombe Radhi upesi sana. Na leo kwa Kujiamini kabisa nasisitiza na narudia tena Kusema kuwa Bondia Mwakinyo Juzi hakushinda ila ' alibebwa ' tu na hana Uwezo huo wa Kupigana isipokuwa tu anabebwa na ' Promo ' huku akitumika kwa Chama fulani Kujiimarisha Kisiasa na ' Kipopraganda ' mbele ya Mafanikio yake Kimichezo kwa Watanzania.

Na ' Management ' nzima na wale walio nyuma ya huyu Bondia wa ' hovyo hovyo ' Mwakinyo kutoka Mkoani Tanga kama wasipokuwa makini nae hasa katika Kumjenga Kinidhamu na Kimichezo kuna Siku atakuja Kuwagharimu na hawatowaamini macho na masikio yao. Bondia mwenye ' Maadili ' kamwe hawezi ' Kupayuka ' hovyo na Kuendeleza ' Uswahili ' kama alionao na alivyofanya Yeye Mwakinyo.
acha kubishana na bondia utapingwa ngumi ya matako
 
hata kama matumla kafanya vizuri kiasi gani hana haki ya kumtukana mwakinyo.
Alichokifanya mwakinyo ni sahihi wala asilaumiwe , Matumla ni mpuuzi tu.
 
Wote hawajielewi.
Kama kweli Matumla anajiheshimu,hakupaswa kusema kinyume na mwenzake.Kajibiwa kwa kadri ya alichokisema

' Wapumbavu / Mapopoma ' wanazidi Kuongezeka kila Kukicha nchini Tanzania.
 
Waliomzunguka ndio washenzi, wanamdanganya sana, huwezi kuwa bondia mkubwa Tanzania halafu unampuuza mtu kama Rashid Matumla, huyu dogo ni mpuuzi sana, nilikuwa namuunga mkono naona atafika mbali kumbe akili hana kabisa, mabondia wakubwa kuwa wanajifunza kabisa namna ya kufanya mahojiano, huwezi kukuta wameongea utumbo kama huyu dogo.
Anawazee wake waganga wakienyeji anakuanao Marakwamara ndowanamjaza huo ujinga.
 
hata kama matumla kafanya vizuri kiasi gani hana haki ya kumtukana mwakinyo.
Alichokifanya mwakinyo ni sahihi wala asilaumiwe , Matumla ni mpuuzi tu.

Unaweza ukaweka Ushahidi wako kuwa Rashid Matumla alimtukana Bondia Mwakinyo alipokuwa akifanya ' Live Game Analysis ' yake Juzi? Hivi Kumbe Bondia Mwakinyo kuambiwa kuwa aache Kucheza Ngumi Kitoto Kitoto na abadilishe ' Trainer ' wake kama kweli anataka Kufika mbali Kimchezo ndiyo Kutukanwa? Hivi ni kwanini baadhi yenu hapa Jamvini hamna Akili kama Wewe hivi? Kwani kama unajijua huna Akili na huna ' Facts ' za Kutosha juu ya Jambo / Suala husika ni lazima nawe uchangie? Ukikaa Kimya uwaache wenye IQ Kubwa wachangie na Wewe kwa ' Upopoma ' wako uweze Kujifunza na Kuokotezaokoteza Madini yao utapungukiwa na nini?
 
Harafu kujifanya unajua kila kitu!! kumbe una uelewa mdogo sana, kudhihirisha ilo lazima uongee maneno ya jumla kumfedheesha Mtu.

Unaleta mada uku una unataka wote tuwe kwenye fikra zako huo ni umbumbuu.. Binafsi nakuona hujui chochote na wewe ni kiongozi wa Mbumbumbu usibishe.

Ninalolisema / Ninaloliona Mimi jua hata Mwenyezi Mungu nae pamoja na Malaika wake Jibril na Mikaela nao wameliona vile vile.
 
Bahati mbaya sana hajui kukosolewa kama alivyofanya Matumla ni namna tu ya kumsaidia ajirekebishe wapi ajipange vipi kama kijana. Mwakinyo amelewa sifa mapema wakati bado ana safari ndefu,kwa shombo anazoendelea nazo,ataishia Lushoto tu hapo hapo. Nimesikia vile vile akiponda Azam kwamba hatafanya nao kazi,ujinga wa kiwango cha juu. Bila kukosolewa huwezi kuwa mzuri ktk fani uliyopo. Asione akina Diamond wanapiga mpunga mrefu mpaka sasa,wamevumilia na kurekebishwa sana. Wala hakuna anaojibishana nao kwa jeuri hivyo
 
Back
Top Bottom