Kidata karibu tena TRA! Uungwana ni vitendo, usijaribu kuwa Kifutu


Sio kweli. Wenzako wakubwa wanajua wanayofanya. Serikali. Siri kali. Kuwa uyaone.
 
Mtaishia kuona May Moshi mweusi tu.😀😀😀
Hizi teuzi sisi walimu hatuweza kuziwaza kivile
Sisi teuzi zetu ni salary mpya, increment, DARAJA na hela zetu za uhamisho, likizo na muundo mpya wa utumishi tulioahidiwa na Majaliwa kuwa Serikali inauandaa
Kumbuka hivyo vyote vilipigwa chini
 
Dotto James hakutakiwa tu kutoka wizara ya fedha, hakupaswa kuwa katibu popote pale.
Sikulitegemea hili.

Sijaona alipofeli kamishna Dr. Mhede.
Angeshauriwa tu kuhandle zile malalamiko za walipakodi maana zilikua nyingi sana. Naona hizo ndo alikua hazisikii, otherwise alikua kamishna mzuri.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa Giza.Huyu Alfayo alikuwa rafiki na mshikaji wa JPM toka wapo wizara ya ardhi.Huyu jamaa alikuwa anampigia kampeni sana JPM kuwa lazima awe Rais.

Labda nikwambie ni majungu tu yalitengenezwa ili kuwachonganisha. Nakumbuka huyu jamaa hata aliporudishwa kutoka Canada bado walikuwa wanawasiliana na JPM. Na akimpigia simu JPM wanaongea kishikaji na kucheka sana.
 
Alifrook na kuna wakati akajenga ukuta kama wa ikulu kwao Bunda na ma akakwiba manoti kibao. Hapa nimeshaanza kukata tamaa. Muhede alitosha sana. Hapa nasema wazi wazi kuna tatizo. Tunarudi tulikotoka.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Watu wana bahati zao, kama ipo ipo tu. Ila jamaa kazungushwa sana,sasa ataanza kusikia simu ambazo ziliyeyuka, pia marafiki walio mkimbia watarudi,ndivyo wanadamu tulivyo,hapendwi mtu bali nafasi aliyonayo ndio inapendwa.
 
Ila JPM hakuwa na urafiki kwenye issue za kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhede ameifanya TRA kuwa pango la Wanyang'anyi, hafai kuendelea.
 
Kumtetea Mhede labda uwe unafanya biashara ya Kumbikumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…