KIDATO CHA NNE KULIPIA CHETI NI SAHIHI?

Okay.....hicho cheti kinatengenezwa stationary, enzi hizo ada matumizi yanatoka huko huko sahivi hakuna ada hiyo garama nani atalipa???

Au basi usilipe kataa
 
Sijaona cha ajabu hapo elimu ni gharama ndugu kama umeamua kusomesha lipa hiyi hela.
Kuhusu bima za elfu 10 ndio ipo ni ile Chf wanaunganisha watu 10 wanatengenezewa bima.
 
Okay.....hicho cheti kinatengenezwa stationary, enzi hizo ada matumizi yanatoka huko huko sahivi hakuna ada hiyo garama nani atalipa???

Au basi usilipe kataa
Hivi umeona hizo gharama zilizowekwa hapo? Ukizitafakari vizuri bila mhemuko unaweza kupata kitu.
 
Maisha kizungumkuti ndugu,ukisikia ile maaana ya kua uyaone mwanangu ndiyo hiyo🤔
 
Sijaona cha ajabu hapo elimu ni gharama ndugu kama umeamua kusomesha lipa hiyi hela.
Kuhusu bima za elfu 10 ndio ipo ni ile Chf wanaunganisha watu 10 wanatengenezewa bima.
Kwa nini isubiri leo wakati ambapo mtoto amebakiza miezi mitano ya kukaa shule?
 
sasa huyo mkuu wa shule mahafali ya dini yanamuhusu nini? kuhusu hela ya cheti ni sawa maama NECTA hawatengenezi vyeti wanatuna tu soft copy veti vinapakuliwa wanapeleka stationary.

Kama wewe ni mtata mwambie huyo mkuu wa shule hiyo elfu nane ya cheti ni kubwa sana hutoi maama na wewe una stationary hivyo utasubili vyeti vikija utaenda kuchukua hicho cheti uka print kwenye stationary yako.
 
Mahafari ya dini si huwa yanakuwa managed na vikundi vyao vya dini... shule inaingilia ya nini. Hiyo ya dini na cheti usilipie wakikuulize nijulishe
 
Fanya reasoning alafu ndo ucoment, nimeuliza swali make sijawahi sikia hii kitu na nimesomesha wanangu wanne, mmoja amesoma alimaliza form four Mzumbe ni ya Serikali sikusikia hizi gharama za vyeti wengine ndo nikasema labda kwa kuwa walisoma private. Ok fine cheti kinalipiwa hapo kuna malipo yanatajwa kama PROJECT Tshs 30K, Kwa nini hicho cheti kisiingie huko? Yawezekana Project ni kwa kuwa watoto walibaki shule naona chenga chenga tu sielewi hata moja hapo
 
Nadhani shuleni leaving certificates zipo softcopy, so, walimu hujaza details za mtoto, wanaprint na kugonga muhuri.

Sasa hapo kwenye kuprint na kujaza details za mwanafunzi ndo unakuta watu wanakula cha juu.

So, kaa kwa kutulia.
Ni halali ama urefu wa kamba?
 
Usikute na wewe ni mzazi mtarajiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…