Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ndo uanze kuona sasa brazaCheti cha kuhitimu form four wameanza kulipia lini? Mbona kama sikuwahi kuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo uanze kuona sasa brazaCheti cha kuhitimu form four wameanza kulipia lini? Mbona kama sikuwahi kuona
😄Haya mkuuNdo uanze kuona sasa braza
Sasa leaving toka lini inalipiwaa?labda leaving certificate
Mbona kama tayari umejijibu unatarajia nikukujibu tena, nimeuliza kulipia cheti ni halal, ndo utaratibu wa sasa? 2020 mwnangu wa pili alimaliza mzumbe kaenda kibaha sikuwahi kusikia kulipia cheti, mwingine kasoma private sikuwahi kusikia cheti, mara project, remedial nk.
Nashukuru umetambua huamisho unaweza kupatokana kwa Kibali maalum ama kinyume chake, si mada ya leo
Project kwa level hiyo imekaa kipigaji, naunga mkono hoja ,vyuoni wanafanya research sasa kama unajua research vile inafanywa kuna pahala hela itatumika.
sasa secondary wao wanafanya project, umeuliza project gani?
Hata mkuu wa shule hajui ni project gani mwanao labda anajua title ya project atakayofanya muulize maama yeye ndo anayechagua title (project wanafanya in groups)
Kuhusu hiyo elfu30 ya project mimi sioni sababu ya mkuu wa shule kukusanya hela wakati hafanyi yeye hiyo project, lakini pia kama elf30 ni kubwa mwambie mwanao afanye project ambayo bajeti yake ni ndogo inawezekana akatumia angalau elfu10 kila mmoja wakafanya project ikakamilika.
Ichf ni 30k,so kunatakiwa watoto sita kutengeneza familia moja ambapo kila mmoja atachangia 5k(inakubalika)Sijaona cha ajabu hapo elimu ni gharama ndugu kama umeamua kusomesha lipa hiyi hela.
Kuhusu bima za elfu 10 ndio ipo ni ile Chf wanaunganisha watu 10 wanatengenezewa bima.
Si kweli, leaving certificates zinatolewa na baraza now days. Ila wanatoa soft copy hivyo ni jukumu la shule kuziprint kwa gharama zao na kwa masharti maalumu yanayotolewa na baraza. Ila baraza hawatoi pesa za kuziprint.Nadhani shuleni leaving certificates zipo softcopy, so, walimu hujaza details za mtoto, wanaprint na kugonga muhuri.
Sasa hapo kwenye kuprint na kujaza details za mwanafunzi ndo unakuta watu wanakula cha juu.
So, kaa kwa kutulia.
Sioni hata sababu ya kuhoji ni project gani? Kwa level ya elimu ya sekondari kwa Tanzania hakuna kitu kinaitwa project au mafunzo kwa njia ya vitendo, huenda hii itakuwepo kwa baadhi ya shule mbeleni huko hasa hizi ambazo zimechaguliwa kuendesha elimu ya ufundi zamani zikiifahamika kama TECHNICAL SECONDARY SCHOOLS,vyuoni wanafanya research sasa kama unajua research vile inafanywa kuna pahala hela itatumika.
sasa secondary wao wanafanya project, umeuliza project gani?
Hata mkuu wa shule hajui ni project gani mwanao labda anajua title ya project atakayofanya muulize maama yeye ndo anayechagua title (project wanafanya in groups)
Kuhusu hiyo elfu30 ya project mimi sioni sababu ya mkuu wa shule kukusanya hela wakati hafanyi yeye hiyo project, lakini pia kama elf30 ni kubwa mwambie mwanao afanye project ambayo bajeti yake ni ndogo inawezekana akatumia angalau elfu10 kila mmoja wakafanya project ikakamilika.
Project zipo miaka yote wala hazijaanza leo, kidato cha nne/sita wanafanya project supervisor atasimamia kila hatua na mwisho kutoa alama,Sioni hata sababu ya kuhoji ni project gani? Kwa level ya elimu ya sekondari kwa Tanzania hakuna kitu kinaitwa project au mafunzo kwa njia ya vitendo, huenda hii itakuwepo kwa baadhi ya shule mbeleni huko hasa hizi ambazo zimechaguliwa kuendesha elimu ya ufundi zamani zikiifahamika kama TECHNICAL SECONDARY SCHOOLS,
Hizi ni shule ambazo kwa mwaka huu zimeanza rasimi masomo hayo ambapo mtoto anachagua aina ya ufundi anaoutaka.