Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Nina mke na watoto wawili mkuu, sio mzazi mtarajiwa.Usikute na wewe ni mzazi mtarajiwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mke na watoto wawili mkuu, sio mzazi mtarajiwa.Usikute na wewe ni mzazi mtarajiwa!
Gharama lazima ziwepo, wakikuambia lazima waende stationery ambayo ipo mbali na shule ilipo ujue hapo nauli lazima ihusike, kuprint na mengine jiongeze.Ni halali ama urefu wa kamba?
vyuoni wanafanya research sasa kama unajua research vile inafanywa kuna pahala hela itatumika.Fanya reasoning alafu ndo ucoment, nimeuliza swali make sijawahi sikia hii kitu na nimesomesha wanangu wanne, mmoja amesoma alimaliza form four Mzumbe ni ya Serikali sikusikia hizi gharama za vyeti wengine ndo nikasema labda kwa kuwa walisoma private. Ok fine cheti kinalipiwa hapo kuna malipo yanatajwa kama PROJECT Tshs 30K, Kwa nini hicho cheti kisiingie huko? Yawezekana Project ni kwa kuwa watoto walibaki shule naona chenga chenga tu sielewi hata moja hapo
Kama ni vitabu wangeandika kama vitabu yaani vitu ninavoviona hapa ni uhuni tupu.duh polee sana au dogo itakuwa kuna vitabu alipoteza shuleni
Hata kama ni kwenda stationery, page moja coloured unaprint kwa bei gani mahali ulipo? Huwezi kuprint page moja kwa shilingi elfu 8Gharama lazima ziwepo, wakikuambia lazima waende stationery ambayo ipo mbali na shule ilipo ujue hapo nauli lazima ihusike, kuprint na mengine jiongeze.
Labda hicho cheti cha dini.Kama ni cheti ndio ni sahihi, si kinatengenezwa stationary? Huko wanatengeneza bure???
Hizo gharama nyingine nenda shule ukapate ufafanuzi
Labda hicho cheti cha dini.
Cheti cha shule hakilipiwi.
Usitoe kisha uone watafanya nini mwanak endapo atapewa adhabu nenda polisi kamshitaki uyo mwalimu kwa kosa la kumshambulia mtotoWadau Eid Mubarak,
Niende kwenye mada nina mtoto wa mdogo wangu ambaye nimekuwa nikimsuport katika elimu yake ya Sekondari. Huyu binti anasoma shule moja SIJUI niite ya serikali au ya kijamii, ni shule zile amabazo zilijengwa mahususi kwa ajili ya jamii za kifugaji ili kuisaidia ukuaji wa elimu kwenye maeneo husika.
Binti huyu mwanzo alifaulu kwenda shule ya kata maeneo ya kijijini kwetu kutokana na mazingira nikaona nifanye ninavoweza kumtoa maeneo yale na akiwa kidato cha kwanza nilifanikiwa kumuamishia shule ya bweni, ilikuwaje hii si mada ya leo.
Kifupi hii shule ina michango mingi sana nadhani Headmaster anakula kutokana na urefu wa kamba. Sasa shule zilivofungwa kwa ajili ya likizo fupi kidato cha nne hawakufunga. Leo ndo nimetumiwa mahitaji kwa ajili ya kumalizia miezi michache iliyobaki. Mojawapo ya michango iliyonistua ni kama ifuatavyo:-
1. Kitambulisho shilingi 10,000/= (Hiki wakati mtoto anaanza fomu one alilipa na hakijawahi tolewa mpaka leo)
2. Project ambayo haitajwi shilingi 30,000/=
3.Remedial 20,000/=
4. Cheti shilingi 8,000/=
5. Mahafari ya shule 20,000/=
6. Mahafari ya dini 10,000/=
7. Bima ya afya 10,000/= hii bima nikauliza kuna bima ya elfu 10? jibu nikwamba wanaunganishwa watoto watano. Hapo pia sijaelewa.
Cheti kinachoongelewa hapo ni Leaving certificate si vibaya ukichangaia gharama kidogo maana siku hizi ada hakuna,hivyo shule haina vyanzo vya mapato kuandaa hizo leaving certificateWadau Eid Mubarak,
Niende kwenye mada nina mtoto wa mdogo wangu ambaye nimekuwa nikimsuport katika elimu yake ya Sekondari. Huyu binti anasoma shule moja SIJUI niite ya serikali au ya kijamii, ni shule zile amabazo zilijengwa mahususi kwa ajili ya jamii za kifugaji ili kuisaidia ukuaji wa elimu kwenye maeneo husika.
Binti huyu mwanzo alifaulu kwenda shule ya kata maeneo ya kijijini kwetu kutokana na mazingira nikaona nifanye ninavoweza kumtoa maeneo yale na akiwa kidato cha kwanza nilifanikiwa kumuamishia shule ya bweni, ilikuwaje hii si mada ya leo.
Kifupi hii shule ina michango mingi sana nadhani Headmaster anakula kutokana na urefu wa kamba. Sasa shule zilivofungwa kwa ajili ya likizo fupi kidato cha nne hawakufunga. Leo ndo nimetumiwa mahitaji kwa ajili ya kumalizia miezi michache iliyobaki. Mojawapo ya michango iliyonistua ni kama ifuatavyo:-
1. Kitambulisho shilingi 10,000/= (Hiki wakati mtoto anaanza fomu one alilipa na hakijawahi tolewa mpaka leo)
2. Project ambayo haitajwi shilingi 30,000/=
3.Remedial 20,000/=
4. Cheti shilingi 8,000/=
5. Mahafari ya shule 20,000/=
6. Mahafari ya dini 10,000/=
7. Bima ya afya 10,000/= hii bima nikauliza kuna bima ya elfu 10? jibu nikwamba wanaunganishwa watoto watano. Hapo pia sijaelewa.
Kama hiyo shule ni ya serikali mchango wa cheti aio halali na una haki ya kutaarifu mamlaka husika yani wilaya au wizaraWadau Eid Mubarak,
Niende kwenye mada nina mtoto wa mdogo wangu ambaye nimekuwa nikimsuport katika elimu yake ya Sekondari. Huyu binti anasoma shule moja SIJUI niite ya serikali au ya kijamii, ni shule zile amabazo zilijengwa mahususi kwa ajili ya jamii za kifugaji ili kuisaidia ukuaji wa elimu kwenye maeneo husika.
Binti huyu mwanzo alifaulu kwenda shule ya kata maeneo ya kijijini kwetu kutokana na mazingira nikaona nifanye ninavoweza kumtoa maeneo yale na akiwa kidato cha kwanza nilifanikiwa kumuamishia shule ya bweni, ilikuwaje hii si mada ya leo.
Kifupi hii shule ina michango mingi sana nadhani Headmaster anakula kutokana na urefu wa kamba. Sasa shule zilivofungwa kwa ajili ya likizo fupi kidato cha nne hawakufunga. Leo ndo nimetumiwa mahitaji kwa ajili ya kumalizia miezi michache iliyobaki. Mojawapo ya michango iliyonistua ni kama ifuatavyo:-
1. Kitambulisho shilingi 10,000/= (Hiki wakati mtoto anaanza fomu one alilipa na hakijawahi tolewa mpaka leo)
2. Project ambayo haitajwi shilingi 30,000/=
3.Remedial 20,000/=
4. Cheti shilingi 8,000/=
5. Mahafari ya shule 20,000/=
6. Mahafari ya dini 10,000/=
7. Bima ya afya 10,000/= hii bima nikauliza kuna bima ya elfu 10? jibu nikwamba wanaunganishwa watoto watano. Hapo pia sijaelewa.
Sio mbaya walimu nao wakipata malupulupu bwan😄😄Kama hiyo shule ni ya serikali mchango wa cheti aio halali na una haki ya kutaarifu mamlaka husika yani wilaya au wizara
Swala la remedial na Project ilitakiwa wazazi mkubaliane kwenye kikao kama hakikufanyika kikao hio ni kinyume cha utaratibu pia unatakiwa kuripo.
Nadhani shuleni leaving certificates zipo softcopy, so, walimu hujaza details za mtoto, wanaprint na kugonga muhuri.
Sasa hapo kwenye kuprint na kujaza details za mwanafunzi nd
HahahhahahahahahaSio mbaya walimu nao wakipata malupulupu bwan😄😄
Mbona kama tayari umejijibu unatarajia nikukujibu tena, nimeuliza kulipia cheti ni halal, ndo utaratibu wa sasa? 2020 mwnangu wa pili alimaliza mzumbe kaenda kibaha sikuwahi kusikia kulipia cheti, mwingine kasoma private sikuwahi kusikia cheti, mara project, remedial nk.It doesn't make Sense. Umemtoa kwenye shule za kata wewe mwenyewe. Halafu unakuja hapa kulalamikia michango iliyoko kwenye shule uliyochagua. Si ajabu hiyo nafasi uliipata kwa kutoa rushwa au kupewa upendeleo uliovunja sheria, maana katika taratubu za wizara ya elimu/Tamisemi hakuna uhamisho WA day kwenda bweni mpaka vibali maalumu vitolewe. Kama ulikuwa huwezi kukubaliana na taratubu za hiyo shule si ungemuacha alikopangiwa?
Halafu hiyo hela hapo ni ndogo, lipa. Acha kulalamika.
Cheti cha kuhitimu form four wameanza kulipia lini? Mbona kama sikuwahi kuonaKama ni cheti ndio ni sahihi, si kinatengenezwa stationary? Huko wanatengeneza bure???