Kidini Kajala ni mke wa mtu, Harmonize atamuoaje?

Kufinyia ndani sahv ndy fashion
Haha...kuna mtu nmemuacha hko mtwara kakabidhiwa mradi barabara
Ana mtoto anamfinyia ndani
Huo mradi sjui kma utaisha

Ova

Hapo ni delaying za certificate hadi vifusi viwe kama mawe
 
Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa.

Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala Aliendelea kudate na Wanaume mbalimbali mfano, Quick Rocka, Msami, Mutra. Hii ni dharau kubwa mno, Mme wake yupo jela then yeye akaendelea kudate na wanaume mbalimbali.

TURUDI NYUMA.
Mwaka 2013, Faraji Agustiono alishitakiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) akidaiwa kutakatisha pesa haramu na kuuza nyumba iliyo kwenye zuio la kuuzwa kutoka kwa taasisi hiyo.

Kuuzwa kwa nyumba hiyo iliyopo Mbezi Beach, kunadaiwa ndio kuliko muingiza Kajala kwenye kesi hiyo maana na Saini yake ilikuwepo (Alishiriki na mme wake kuuza nyumba ambayo ipo chini ya kizuizi)

Hukumu ya kesi hii ilitoka kwa Kajala kufungwa miaka 5 jela au faini ya shilingi milioni 13 ambapo alilipa faini hiyo baada ya kupewa nguvu na Wema Sepetu. Mumewe alihukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au faini ya shilingi milioni 200 ambazo alishindwa kuzilipa. Hivyo alitumikia Jela na Mwaka 2017 akaachiwa.

Baada ya Faraji kutoka Jela alipata Skendo zote za Kajala na hakuweza kuendelea kuwa pamoja na Kajala.

Lakini watu hawa hawajapeana Talaka, kwa mujibu wa ndoa za kikristo, mkioana ndio basi tena mpaka Mungu awatenganishe, Sasa Harmonize ataanza vipi kumuoa Kajala? Kwa wanaojua vizuri hizi sheria za kikristo, Je Kajala atafanikiwa kweli kuolewa na Konde, wakati tayari ameshaoelewa na mme wake yupo hai?
Ukikutana na demu mjini na anapambana na maisha yake, mwanaume kuwa makini sana unapofika uamuzi wa kutaka kuoa vinginevyo wewe piga tu ile niaje kupunguza mingali
 
Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa.

Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala Aliendelea kudate na Wanaume mbalimbali mfano, Quick Rocka, Msami, Mutra. Hii ni dharau kubwa mno, Mme wake yupo jela then yeye akaendelea kudate na wanaume mbalimbali.

TURUDI NYUMA.
Mwaka 2013, Faraji Agustiono alishitakiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) akidaiwa kutakatisha pesa haramu na kuuza nyumba iliyo kwenye zuio la kuuzwa kutoka kwa taasisi hiyo.

Kuuzwa kwa nyumba hiyo iliyopo Mbezi Beach, kunadaiwa ndio kuliko muingiza Kajala kwenye kesi hiyo maana na Saini yake ilikuwepo (Alishiriki na mme wake kuuza nyumba ambayo ipo chini ya kizuizi)

Hukumu ya kesi hii ilitoka kwa Kajala kufungwa miaka 5 jela au faini ya shilingi milioni 13 ambapo alilipa faini hiyo baada ya kupewa nguvu na Wema Sepetu. Mumewe alihukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au faini ya shilingi milioni 200 ambazo alishindwa kuzilipa. Hivyo alitumikia Jela na Mwaka 2017 akaachiwa.

Baada ya Faraji kutoka Jela alipata Skendo zote za Kajala na hakuweza kuendelea kuwa pamoja na Kajala.

Lakini watu hawa hawajapeana Talaka, kwa mujibu wa ndoa za kikristo, mkioana ndio basi tena mpaka Mungu awatenganishe, Sasa Harmonize ataanza vipi kumuoa Kajala? Kwa wanaojua vizuri hizi sheria za kikristo, Je Kajala atafanikiwa kweli kuolewa na Konde, wakati tayari ameshaoelewa na mme wake yupo hai?
Inawezekana.

Wachungaji / Mapadri huwa wanahongwa.

I am speaking from a very personal experince kanisani kwetu.

Wachungaji walipinga pinga ndoa ya kigwiji fulani kwa vigezo vizito na vya wazi, mara tanaona ndoa inafungwa. Kumbe bana familia ya bwana harusi imedondosha dau ambalo wanasema "hata wewe usingeliweza kukataa."
 
Kuolewa ni hiari ya mtu na hiari inashinda vyeti. Mmoja wa mwenza akikataa tayari ndoa haipo, achana na sheria za kanisa. Anaweza olewa hata kihindu maadamu tu uwe na pesa.
 
Konde kafa kwa kahaba....jamaa wa UN anavuta..anaweka ndan week..masanja anapozwa na 600k...kweli tembo kawa fisi...
Muziki bila kiki auendi,konde anasaka scendo in town Ili auze muziki.
Bila hivyo muziki hauendi.
 
Hiyo trending yao na Harmo atakayekuja kuumia ni Harmo... Kajala yupo kwa ajili cash na sivinginevyo
Hamo anafata nyota ya k Ili awe juu kimuziki na kajala maisha ya mjini magumu bila mfadhili.
Hamo ndo ATM yake. ATM inapendwa na KILA mtu.
 
Kama imewezekana kwa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania Dayosisi ya Konde, hilo ni jambo dogo sana. Atafunga ndoa tu mama Paula
Hiyo dayosisi ina watu wenye mapepo?
Mbona kuna visanga visivyoisha kila siku .
 
Back
Top Bottom