malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Habar wakuu Mzee wangu alifanyiwa operation kwenye korodani tar 13/9/2025,baada ya korodani kugeuka nakuwa na maumivu makali kwa siku5 ikabid afanyiwe operation,
Sasa baada ya operatio alikaa wiki mbili nje ya hospital kuangalia maendeleo,Kisha wakamruhusu kurud mkoani,
Sasa amekua akilalamika kuwa anaoona donda haliponi nimwezi Sasa nawiki mbili tangu afanyiwe operation kwenye korodani
Alifanyiwa Benjamin mkapa dodoma
Wakuu msaada wenu nin kifanyike apone donda