malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Mkuu pole sana kwa Mzee wako kuwa na kidonda kisichopona kwa sababu ya ugonjwa wa kisukari Mimi ninakusaidia kuhusu hicho kidonda kukutibia akapata kupona Mzee mwenzangu. Tafuta Asali safi ya nyuki iliyotoka mzingani haija chakachuliwa msafishe kidonda chake kwa maji ya uvuguvugu yaliyotiwa chumvi . kisha ukikaushe kidonda kwa taulo. kisha umpakaze hiyo asali isiyochakachuliwa ukifunge hicho kidonda chake kitapona kabisa. Kuhusu kumtibu maradhi ya kisukari na BP hebu nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia apate kupona maradhi yake Mzee wako auguwe pole.Habar wakuu Mzee wangu alifanyiwa operation kwenye korodani tar 13/9/2025,baada ya korodani kugeuka nakuwa na maumivu makali kwa siku5 ikabid afanyiwe operation,
Sasa baada ya operatio alikaa wiki mbili nje ya hospital kuangalia maendeleo,Kisha wakamruhusu kurud mkoani,
Sasa amekua akilalamika kuwa anaoona donda haliponi nimwezi Sasa nawiki mbili tangu afanyiwe operation kwenye korodani
Alifanyiwa Benjamin mkapa dodoma
Wakuu msaada wenu nin kifanyike apone donda
Wewe jamaa unatibu kila ugonjwa. Kansa. UKIMWI. Kisukari, Stroke...you name it. Safi sana!Mkuu pole sana kwa Mzee wako kuwa na kidonda kisichopona kwa sababu ya ugonjwa wa kisukari Mimi ninakusaidia kuhusu hicho kidonda kukutibia akapata kupona Mzee mwenzangu. Tafuta Asali safi ya nyuki iliyotoka mzingani haija chakachuliwa msafishe kidonda chake kwa maji ya uvuguvugu yaliyotiwa chumvi . kisha ukikaushe kidonda kwa taulo. kisha umpakaze hiyo asali isiyochakachuliwa ukifunge hicho kidonda chake kitapona kabisa. Kuhusu kumtibu maradhi ya kisukari na BP hebu nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia apate kupona maradhi yake Mzee wako auguwe pole.
Jichanganye uoneWewe jamaa unatibu kila ugonjwa. Kansa. UKIMWI. Kisukari...Safi sana!
Najua mkuu. Najua! 😂Jichanganye uone
Mkuu Kwa Mujibu wakiongozi wetu wadini ya Kiislam Mtume Muhammad Rehema za Mungu ziwe juu yake pamoja na amani amesema hivi hakuna maradhi yasiyokuwa na dawa ila Uzee na kifo tu ndivyo havina dawa. Maradhi yasiyoweza kutibika Ma-Hospitalini yanatibika kwa dawa za asili. UKIMWI ni Ugonjwa wa kutengenezwa katika Maabara Ukimwi sio ugonjwa Maradhi yoyote yale ukiambiwa Kuna Maradhi, yanaitwa kuwa ni Virus aka (Virusi) Ujuwe yametengenezwa katika viwanda vya kutengeneza madawa. Mungu hakuleta maradhi yanyoitwa Virusi ni wazungu wa nchi za magharibi na amerika ndio waliotengeneza hayo maradhi ya Virusi sio Mungu. Amka Mkuu........................Wewe jamaa unatibu kila ugonjwa. Kansa. UKIMWI. Kisukari, Stroke...you name it. Safi sana!