Kidonda kina siku 12 hakikauki na kupona, natumia dawa

Usafi wa namna gani..naje kinakaa wazi hivi hvi au
Sehemu hiyo ni ngumu kupona haraka kwa sababu ni sehemu ya mkunjo (kifundo). Yaani unakuwa unakunja na kukunjua kidole na pia hiyo sehemu imejaa kitu kama nyama yenye mafuta. Rudi hospital kama unaona hakiponi. BTW hizo hosptal za wakorea huko uwe makini sana. Dunia imebadilika hii watu wanajali fedha tu.
 

Pole Sana Mkuu Ila Kwa Kuangalia Hicho Kidonda mbona Hakina Shida Kubwa Sana..
Na Naona Basement ya Kidonda kuna Healing tissue kabisa Sema Inaonekana Unakiacha Bacteria Wanakishambulia..

Sasa Unaweza ukafanya Hivi..
Kisafishe Kidonda na Antiseptic Kwa Hali ilivyo nina Prefer Utumie Povidone Iodine (Fanya kama Painting usikwangue Ngozi)..

Halfu kaa kama Dakika 30 hivi Futa Hiyo Povidone Iodine kwa Kutumia Normal Saline halafu Paka Dawa Mebo Cream.. then Kifunge Kidonda..

Kesho ukianza anza kwa Kufuta Dawa hiyo kwa Kutumia Normal Saline then Paka Iodine then Mebo..

Na Endelea Mpaka Siku tano..

Kwakuwa Kimekaa Muda Mrefu Ninge Recomend Usikifunge Kiache Kipone kwa Secondary Healing method..
 
Haki Tena nimekoma siwezi kuja Rudi mambo ya wakorea au wengine wote ntakua nihospital tu
 
Normal saline nikitu gani
 
Nikipaka mebo cream nakifunga kidonda nanin
 
Sasa maji ntayaepukaje nani mkono wakushoto chooni ntajisafishaje
 
Ok, pole sana.
Kiukweli hiyo mbinu yao ya kutibu bawasiri siijui ni mpya kwangu!
 
Kapime sukari pia check mazingara yako ya kazi
 
Kwa ushauri huu; wewe ni daktari wa ukweli! Humu watu wengi wanatumia majina na wasifu za bandia, hivyo inakuwa vigumu kujua nani ni mkweli kwa utambulisho wake. Angalau kwa uchangiaji wa mada kama hivi tunaweza kutambuana japo kwa taaluma
 
Kama ulikuwa hukiwekea dawa kuna uwezekano kimepata infection.. pengine hata ushapata tetenus..

Mwili Una uwezo wa kujitibu ukiona kidonda kidogo zaid ya siku 3 kinaanza kutengeneza maji na usaha ndani ujue kimepata infection
Mkuu unanitesha Tena ntakua nimepata tetenas au
 
Diabetic umepima?
 
Diabetic umepima?
Mkuu nimepima ndio nanina vipimo vya sukari mwezi Jana tu nimepima kipimo kikubwa Cha sukar Cha hb1ac naikawa ipo 5.0...nasukar yakila siku nkiwa nimeamka asubuh inakua 5.4
 
Tafuta gamba la konokono alikufa then lichome katika bati upate ungaunga paka katika kidonda utaona kinapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…