Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
Mkuu unanitesha Tena ntakua nimepata tetenas au
Yes. Kama kilikuwa waz na ulikuwa hukiwekei dawa ni rahisi kupata tetanus.. anyway usitishike... ungekuwa porini na hakuna means ya kupata dawa kweli ingekuwa a scary situation maana ingekupa hadi homa.. ila hapa mjini tetanus inatibika fasta..
Fact.. kuna mtu wangu wa karibu alipata kidonda kama chako exactly kwenye kidole maeneo hayo.. alijiumiza kidogo akaona kawaida kitapona.. a week later kikaweka ganda ila ndani. Kina maji na usaha..akasafisha na methanol na kuanza kuweka dawa ila baada ya siku 3 akaona kinachimbika na kidole kinaanza kuvimba.. ingawa kinatengeza ganda. Ikabid aende hosptal wakamkuta na maambukizi ya tetenus akapigwa sindano ya tetanus akapewa special antibiotic cream ya kuweka kwenye kidonda (sio kunywa) siku 3 baadae kikaanza kufunga na kupona.. alikuwa anasafisha na ku apply hiyo cream tu.