Kidonda kina siku 12 hakikauki na kupona, natumia dawa

Mkuu unanitesha Tena ntakua nimepata tetenas au

Yes. Kama kilikuwa waz na ulikuwa hukiwekei dawa ni rahisi kupata tetanus.. anyway usitishike... ungekuwa porini na hakuna means ya kupata dawa kweli ingekuwa a scary situation maana ingekupa hadi homa.. ila hapa mjini tetanus inatibika fasta..

Fact.. kuna mtu wangu wa karibu alipata kidonda kama chako exactly kwenye kidole maeneo hayo.. alijiumiza kidogo akaona kawaida kitapona.. a week later kikaweka ganda ila ndani. Kina maji na usaha..akasafisha na methanol na kuanza kuweka dawa ila baada ya siku 3 akaona kinachimbika na kidole kinaanza kuvimba.. ingawa kinatengeza ganda. Ikabid aende hosptal wakamkuta na maambukizi ya tetenus akapigwa sindano ya tetanus akapewa special antibiotic cream ya kuweka kwenye kidonda (sio kunywa) siku 3 baadae kikaanza kufunga na kupona.. alikuwa anasafisha na ku apply hiyo cream tu.
 
Alienda hospital gani mkuu..nakipimo kipi kinapima tetenas
 
Katafute kidonge cha ukoma alafu ukipondeponde unga wake uweke kwenye kidonda hapo utakuwa umesolvetatizo
 
Vip kuhusu tetenas sijachoma
 
Hapo itakuwa anahudumia jeraha la moto na sio fresh wound?
 
Pole sana
 
Unataka Kuchoma? Kwa maelezo yako Sidhani kama Ni muhimu sana Japo kama Unataka Uhakika zaidi wa Afya yako Unaweza kuchoma..

Mara ya Mwisho ulichoma lini Tetanus?
Mda mrefu yapita miaka2 nlichoma yakwanza skuendelea dozi ya pili
 
Alienda hospital gani mkuu..nakipimo kipi kinapima tetenas

Anaishi kigamboni so alienda hospital za huko.. kupima tetanus naamin ni hospital nyingi zinapima... ila ukifika
Kwa daktar we mwambia mchakato
Mzima yeye atajua akupime nini.. sababu hata jamaa ni Dr ndio alimwambia wapime tetanus baada ya kumpa historia ya kidonda
 

Tumia mkojo wako kupakojolea angalau mara nne kwa siku. Fanya hivyo kwa siku kadhaa, patakakuka na kupona haraka, hutoamini.
 
Mkuu hii sehemu nikama imejaa maji kwa ndani inakama maji nahisi ni usaha nawaza nitoboe utoke maana ndo panakua panawasha
Mkuu hii sehemu imejaa kwa ndani nkiminya minya nikama maji alafu hapo kidonda kimefunga funga . Sasa hapo panapojaa nahisi usaha nawaza kutoboa nasindano yatoke
Basi sawa Japo sina Uhakika Kama Una Uhitaji mkubwa saba wa TT injection
 

Attachments

  • IMG_20241116_140836.jpg
    248.4 KB · Views: 5
  • IMG_20241116_140836.jpg
    248.4 KB · Views: 5
Mkuu hii sehemu imejaa kwa ndani nkiminya minya nikama maji alafu hapo kidonda kimefunga funga . Sasa hapo panapojaa nahisi usaha nawaza kutoboa nasindano yatoke
Kunywa Antibiotics Tu, Kitakaa sawa Usitoboe toboe Kidonda Unakiingizia Uchafu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…