Kiduku wa Korea kaskazini kwenye pigo za wanaume USA ama Israel huingia chimbo kijificha

Kiduku wa Korea kaskazini kwenye pigo za wanaume USA ama Israel huingia chimbo kijificha

Khanji kapoor

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2024
Posts
3,861
Reaction score
9,909
Rais korea kaskazini ni comedian Sana

Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣

Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁

Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari kanavimbisha mishavu tu😁

Hapo Hali ikishatulia utakaona kanetest mitambo ya nuclear na kudeka unapiga kila kona ya USA😁

Yote kwa yote kiduku mtu Sana yeye yupo mashariki ya mbali Hana muda kwenda USA wala Europe
 
KADOGO KANASEMA AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO. HUWA KUKIWA SHWARI NDO KANATEST MITAMBO. MAMBO YAKITINDINGANYA KANAKIMBILIA KWENYE MAHANDAKI KANAKAA HUKO..... MPAKA KUWE NA UTULIVU TENA.
 
Huna akili au unaandika kishabiki? Juzi tu karusha makombola ya masafa juu ya anga la Korea kusini. Na alikuwepo kushuhudia zoezi hilo live
 
Toka 2006 wewe ni kulog off tu. Halafu ni mtu wa itifaki. Umejikita tu international forums. Kwenye majukwaa mengine haupo labda na ID zingine. Kama Geza Ulole yeye ni kenyan forums tu.
Hapana ID yangu ni HII HII moja nacheza nayo,Naam mi ni mtu wa kimataifa ndio maana jicho langu Liko sana huku ili kujua nini kinaendelea upande wa pili.
Kama unapenda mpira wa kiafrika basi leo,shangilia Nigeria na Senegal zishinde.
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom