Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Rais korea kaskazini ni comedian Sana
Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣
Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁
Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari kanavimbisha mishavu tu😁
Hapo Hali ikishatulia utakaona kanetest mitambo ya nuclear na kudeka unapiga kila kona ya USA😁
Yote kwa yote kiduku mtu Sana yeye yupo mashariki ya mbali Hana muda kwenda USA wala Europe
Kajamaa kajanja sanaIsrael alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁
Jamaa samahani.Iran ni ya wairan ❤️
Nalog off Z
Mara nyingi mno😂Jamaa samahani.
Hivi kwa siku una log off mara ngapi..😂😂😂
Ahahahaha nahisi ni wewe kipindi flan hv walishawi kukuulizaMara nyingi mno😂
Nalog off Z
Toka 2006 wewe ni kulog off tu. Halafu ni mtu wa itifaki. Umejikita tu international forums. Kwenye majukwaa mengine haupo labda na ID zingine. Kama Geza Ulole yeye ni kenyan forums tu.Mara nyingi mno😂
Nalog off Z
Hapana ID yangu ni HII HII moja nacheza nayo,Naam mi ni mtu wa kimataifa ndio maana jicho langu Liko sana huku ili kujua nini kinaendelea upande wa pili.Toka 2006 wewe ni kulog off tu. Halafu ni mtu wa itifaki. Umejikita tu international forums. Kwenye majukwaa mengine haupo labda na ID zingine. Kama Geza Ulole yeye ni kenyan forums tu.
Inawezekana kiongozi,Da saam kubwa,hahahahahAhahahaha nahisi ni wewe kipindi flan hv walishawi kukuuliza