BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Ndio maana mnakosa nguvu za Kiume!Sisi tunaokaa na kulima viazi huo sio issue.Unapokosa hamu ya chakula na una njaa basi jaribu hii option chipsi yai, nyama na soda baridi. Chipsi Ina ladha nzuri compared na wali au ugali.
Chipsi Ina historia baadhi ya mabinti wamepoteza usichana wao wengine wamekuwa single mother huku ndoa nyingine zimevunjika hii Inathibitisha kuwa chipsi sio chakula tu bali Ina uwezo wa ushawishi.
Vibanda vya chipsi vinakesha 24/7 huku wababa kwa wamama, mabrazamen kwa masista du wakipigana vikumbo ili kujipatia kiepe.
CHIPSI FOR LIFEView attachment 3281171
Nguvu za kiume hazimalizwi na chips mkuu...yaan kama huna ni huna tuNdio maana mnakosa nguvu za Kiume!Sisi tunaokaa na kulima viazi huo sio issue.
Wa wa DarUnapokosa hamu ya chakula na una njaa basi jaribu hii option chipsi yai, nyama na soda baridi. Chipsi Ina ladha nzuri compared na wali au ugali.
Chipsi Ina historia baadhi ya mabinti wamepoteza usichana wao wengine wamekuwa single mother huku ndoa nyingine zimevunjika hii Inathibitisha kuwa chipsi sio chakula tu bali Ina uwezo wa ushawishi.
Vibanda vya chipsi vinakesha 24/7 huku wababa kwa wamama, mabrazamen kwa masista du wakipigana vikumbo ili kujipatia kiepe.
CHIPSI FOR LIFEView attachment 3281171
Hiyo ni dhana potofu jichange ndio utajua hujui.Ndio maana mnakosa nguvu za Kiume!Sisi tunaokaa na kulima viazi huo sio issue.
Chipsi ni chakula pendwa sio Dar tu bali TZ nzimaUpo kinondoni au temeke???
Toka lini chips zikawa chakula Bora?Lazima ukose hizo nguvu za kiume tena anasema na soda baridii!!Nguvu za kiume hazimalizwi na chips mkuu...yaan kama huna ni huna tu
thats right na ndio maana vinaitwa VIAZI VITAMU wakati vya chipsi vinaitwa VIAZI MBATATA.Aisee hivyo ni vyakula vya nyie wa mjini, huku kwetu labda viazi vitamu na mtindi
View attachment 3281172
Nayasema Nina uhakika nayo!Hiyo ni dhana potofu jichange ndio utajua hujui.
🤣🤣🤣🤣DaaahToka lini chips zikawa chakula Bora?Lazima ukose hizo nguvu za kiume tena anasema na soda baridii!!
Nice one.. ila kiepe is best of the all timeAisee hivyo ni vyakula vya nyie wa mjini, huku kwetu labda viazi vitamu na mtindi
View attachment 3281172