Kiepe kina Kila sababu ya kuwa chakula pendwa

Kiepe kina Kila sababu ya kuwa chakula pendwa

IMG_3326.JPG
 
Chakula hiki kikiandaliwa harusini ndio hubamba zaidi japo pilau na madikodiko mengine huja mwishoni kujazia tumbo
 
Tatizo hiki chakula hakina nguvu za kupiga shoo kisawasawa
 
Kiepe kitangazwe kua mlo wakitaifa nakila familia ilazimishwe kulima viaz mbatata, ugali umetuchelewesha sana
 
Sio potofu hata ukikataa,ukweli utabaki ukweli,ni tamu tuu mdomoni ila Hamna kitu kiafya!

Na hakuna chakula cha kipumbavu hapa dunuani kama UGALI.

chakula gani hakiliki peke yake!!
Chakula gani hakiliwi nchi zilizoendelea!!
 
Back
Top Bottom