Naona kapata toto kwa GIA ya viepe!Kuna nini Leo...
Chips chips chips
Ahahahaha..halaf wake zao wakija vijijin kuzika hawarudi kama walivyokuja..sababu??? Chips mayai vijana lege lege 😂😂😂Aisee hivyo ni vyakula vya nyie wa mjini, huku kwetu labda viazi vitamu na mtindi
View attachment 3281172
Achana na fikra potofu mkuuToka lini chips zikawa chakula Bora?Lazima ukose hizo nguvu za kiume tena anasema na soda baridii!!
Unapokosa hamu ya chakula na una njaa basi jaribu hii option chipsi yai, nyama na soda baridi. Chipsi Ina ladha nzuri compared na wali au ugali.
Chipsi Ina historia baadhi ya mabinti wamepoteza usichana wao wengine wamekuwa single mother huku ndoa nyingine zimevunjika hii Inathibitisha kuwa chipsi sio chakula tu bali Ina uwezo wa ushawishi.
Vibanda vya chipsi vinakesha 24/7 huku wababa kwa wamama, mabrazamen kwa masista du wakipigana vikumbo ili kujipatia kiepe.
CHIPSI FOR LIFEView attachment 3281171
Hatushangai wewe mwanaume wa dar kuisifia chipsi kuwa chakula pendwa.Unapokosa hamu ya chakula na una njaa basi jaribu hii option chipsi yai, nyama na soda baridi. Chipsi Ina ladha nzuri compared na wali au ugali.
Chipsi Ina historia baadhi ya mabinti wamepoteza usichana wao wengine wamekuwa single mother huku ndoa nyingine zimevunjika hii Inathibitisha kuwa chipsi sio chakula tu bali Ina uwezo wa ushawishi.
Vibanda vya chipsi vinakesha 24/7 huku wababa kwa wamama, mabrazamen kwa masista du wakipigana vikumbo ili kujipatia kiepe.
CHIPSI FOR LIFEView attachment 3281171
Sio potofu hata ukikataa,ukweli utabaki ukweli,ni tamu tuu mdomoni ila Hamna kitu kiafya!Achana na fikra potofu mkuu
Shimba ya Buyenze mabele na manumbu masoga sanaAisee hivyo ni vyakula vya nyie wa mjini, huku kwetu labda viazi vitamu na mtindi
View attachment 3281172
Huyu wa kinondoni aiseeUpo kinondoni au temeke???
🤣🤣🤣Naona kapata toto kwa GIA ya viepe!
Aisee hivyo ni vyakula vya nyie wa mjini, huku kwetu labda viazi vitamu na mtindi
View attachment 3281172
Huyu jamaa ananishangaza sana!Hatushangai wewe mwanaume wa dar kuisifia chipsi kuwa chakula pendwa.
Waya wa VGA ha usomi kwenye laptop mpakatoHuyu wa kinondoni aisee
Sio kushiba tuu hata kiafya,Haina chochote, Tena anakazia na Soda baridiii!Chips ni kwa watu wa dar sisi wa mikoani hatuwezi kushiba
Sio wa mikoani sema wa vijijini. Maana vijijini ndio watu hula sana. Mtu anakula chakula mlima wa mbele yake hamuoni, chips atashiba saa ngap.Chips ni kwa watu wa dar sisi wa mikoani hatuwezi kushiba
hata kazi tunazofanya ni ngumu,kwenye show sasa ni kaz kweli kweliSio wa mikoani sema wa vijijini. Maana vijijini ndio watu hula sana. Mtu anakula chakula mlima wa mbele yake hamuoni, chips atashiba saa ngap.
mimi niwe mkweli chips hapana kwa kweli kwanza ina mafuta mengSio kushiba tuu hata kiafya,Haina chochote, Tena anakazia na Soda baridiii!
Kwenye show kwani unaenda vitani.hata kazi tunazofanya ni ngumu,kwenye show sasa ni kaz kweli kweli
raha ya show mwanamke afikishwe kilimanjaroKwenye show kwani unaenda vitani.