Kifahamu kikundi cha udukuzi mtandaoni kiitwacho Anonymous Hackers mwanzo mwisho

Our main motive is freedom on the internet. We want every citizen of the world to have equal rights to speak. If you want any kind of help related to cyber securities or any other topic, visit anonymous contact us page. If your request accepted one of our representatives will contact you very soon. Or you can drop us the mail at annymoushackers.net@gmail.com.
Expect us.


NB: Mualiko sio kwa kila mtu, wengine watabaki mashabiki tu!. US DoD yenyewe imewanyooshea mikono hawa wahuni!.

 
Ahsante sana mkuu kwa kuongeza nyama.. Hivi unadhani kweli hawa jamaa hawafahamiani? Hua hawapangi plan za kuataki huko huko mitandaoni
 
Ahsante sana mkuu kwa kuongeza nyama.. Hivi unadhani kweli hawa jamaa hawafahamiani? Hua hawapangi plan za kuataki huko huko mitandaoni
wanafahamiana kupitia Dark Web!.. Hauwezi dondosha US Department of Treasurey ukitokea ghetto kamwe!!!...
 
Ahsante sana mkuu kwa kuongeza nyama.. Hivi unadhani kweli hawa jamaa hawafahamiani? Hua hawapangi plan za kuataki huko huko mitandaoni
Unaweza Sema Ni kikundi kumbe Ni mtu mmoja tu ndio anaanzisha yote hayo.
Ingekuwa Ni kikundi Cha watu weng wangefahamika mapema Sana. Kungekuwa na usaliti mkubwa na kuwafanya wawe exposed kirahisi.
 
Hapa Tz hakuna hackers wa maana
Hackers wapo wa kutosha tu, sema kwa taratibu zetu mambo yanaisha kiujambazi zaidi. Hatuna utaratibu wa kutangaza tukipata tatizo, tunawatafuta kimyakimya ili tumalizane nao kimyakimya!.
Unakumbuka Membe alisema kuna dogo alikuwa anajikatia tiketi za ndege, unadhani alikuwa US yule!?. Halafu hackers wengi wapo vyuoni, wanaangusha sana website za vyuo kuvuruga matokeo!.
 
Hivi hakuna hackers wa kibongo wanaovamia serikali au mifumo ya benki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…