Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
Na iwe hivyo mkuu.Ubarikiwe sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na iwe hivyo mkuu.Ubarikiwe sana
Mmh makubwa mbona mada nyingine unahamia pengine unaongozwa na mhemuko mkuu sio bureAfadhali wavaa kobazi wao wanajua mtu wao alikufa wala hakufufuka wala hakupaa mbinguni amezikwa kama wengine na kaburi lake lipo hadi leo ila wanaamini siku ya kiama watakutana naye huko atakusanya umati wake.
Nimekuelewa ila Kwa mujibu wa biblia na yohana 1---,yesu(huyo tunayemuongelea) ni muunganiko wa vitu vitatu=Mungu,Roho na Binadamu,Kwa kuwa lengo ni kumkomboa binadamu basi kilichokufa hapo ni huo ubinadamu,kilichobaki Kwa huyo yesu ni Mungu na Roho ndo vilivyofufuka basi.
kwani unafikiri kafara ya Yesu ilitakiwa kufanyika vipi? je unaamini kafara inafanyika juu ya mwili na sio roho?
Alikuwa akiwarekebisha hao Wayahudi na kuwaletea watu Habari Njema za kuwakomboa watu, na alikufa katika hilo ndio maana mabadiliko makubwa yametokea duniani kwa wale wanaomwamini na kumfuata kisawasawa.Qyesu aliuawa kwa sababu alienda kinyume na mafundisho ya kiyahudi, wala hakufia mtu yeyote
Afadhali wavaa kobazi wao wanajua mtu wao alikufa wala hakufufuka wala hakupaa mbinguni amezikwa kama wengine na kaburi lake lipo hadi leo ila wanaamini siku ya kiama watakutana naye huko atakusanya umati wake.
Kwa hio mleta mada hitimisho lako kwa huu unaouita upotoshaji ni nini?
Ukiwa unamaanisha kwamba au Yesu Hakufa ama hakufufuka?
Conclusion?Kifalsafa ni Jambo la uongo
Nimeeleza hapo juu kuwa Yesu baada ya kufa, alifufuka na kamwe hakuishi tena maisha ya kawaida. Alionekana katika roho kwa namna ya ajabu kabisa kwani aliweza kuingia ndani walipokuwa akina Petro bila kupita mlangoni. Alipoteza ile hali ya kawaida aliyokuwa nayo toka wakati ule hadi leo. Na ilibidi aondoke hapa ulimwenguni baada ya kafara hiyo.Sasa Mkuu unatoa Kafara kitu Fulani alafu unauhakika utakipata kitu kilekile alichotoa Kafara. Hiyo ni KAFARA kweli?
sio zito, binadamu anapotolewa kafara kama ulivyosema kinahusisha damu, na uwepo wake duniani kuto kuwepo tena, lakini vipi kuhusu roho ya huyo binadamu?Mmmh
Utata unaanzia kwenye istihali Kafara.
Ukifuatilia Kafara kama Kafara Yesu kama alitolewa Kafara hakupaswa awepo baada ya kutolewa au kujitoa Kafara.
Swali la Pili, bado ni zito
You have a point. Be blessed brother.KIFALSAFA "KIMANTIKI" YESU HAKUTOLEWA KAFARA. DUNIA IMEDANGANYWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Angalizo: Mada hii inaweza isiwafae watu wote hasa watu wale wenye Itikadi na hisia Kali za kidini. Hivyo kama Taikon Master kwa kulijua Hilo, nashauri wewe kama ni wale wenye Itikadi Kali au Imani Kali Basi unaweza kupuuzia Mada hii na kuidharau ukaishia tuu hapahapa. Kuendelea kusoma itahesabika kutumia Uhuru wako kuchagua Jambo litakaloweza kukuumiza . Hivyo maumivu hayo Mimi sitahusishwa.
Tuendelee.
Tangu tukiwa watoto Wakristo tumekuwa tukifundishwa kuwa Yesu Kristo alikufa kwaajili yetu, alitolewa Kafara ili binadamu Wapate uzima na sio uzima tuu Bali uzima wa MILELE.
Yohana anatuambia hivi:
Yohana 3:16
16 “Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Aya nyingi ndani ya Biblia hasa katika vitabu vya Injili vinaeleza kuwa Yesu Kristo alikuwa ni Kafara kwaajili ya ondoleo la dhambi za wanadamu.
Waandishi wa Biblia wamejitahidi Sana kumpa Uhusika wa ajabu Yesu na kubwa zaidi ni Hilo la Kujitoa Kafara, Kufa kwaajili ya wanadamu.
Na mwisho Kabisa Kufufuka katika Wafu.
Mimi sina tatizo na Yesu Kujitoa Au kutolewa Kafara kwa Sababu wapo watu wengi waliojitoa Kafara na hata hivi Leo wapo watu wanaojitoa Kafara kwaajili ya Familia Zao na mataifa Yao.
Akili yangu inaanza Kupata shida pale ambapo Mtolewa Kafara amefufuka.
Tukio la Kufufuka kwa Yesu kama ilivyoripotiwa katika vitabu vya Injili ndilo linaloondoa dhana zima ya KAFARA ya Yesu Kristo.
Ili kitu au Jambo lisemwe limetolewa Kafara lazima lipotee na lisipatikane Tena na hakuna namna nyingine ya kulirejesha tena Jambo hilo.
Kafara ni kutoa na kupoteza Jambo la thamani Sana ili mtu apate Jambo jingine la muhimu au la thamani zaidi.
Mfano mtu anaweza kutoa Kafara Muda wake ili apate Jambo Fulani.
Kafara iliyotolewa haiwezi kurudi.
Kafara za uhai.
Unakuta mtu anatoa uhai wake kwaajili ya Familia au taifa lake. Uhai uliotolewa hauwezi kurudishwa tena. Hiyo inaitwa Kafara.
Kafara inayoweza kurudishwa haiitwi KAFARA inaweza kupewa jina jingine.
Kuna visa vya watu waliowatoa Kafara wazazi au watoto wao ili wajipatie Utajiri au vyeo. Hizo ni Kafara na zile Kafara haziwezi kurudi kamwe. Unapomtoa mzazi au mtoto Kafara haitarajiwi na haiwezekani mtoto au mzazi huyo kurudi tena. Yaani ndio umempoteza hivyo ili wewe upate utajiri au cheo Fulani. Hiyo ni KAFARA.
Tukirejea kwenye Kafara na dhabihu za wakati wa Musa. Wanyama waliokuwa wakitolewa Kafara au dhabihu ndio ilikuwa ntolee hiyo. Huwezi kumrudisha kondoo au mbuzi aliyejinjwa kwaajili ya Kafara.
Yesu alipokufa na kusulubishwa kwaajili ya wenye dhambi kama ilivyoripotiwa kwenye Injili. Ingekuwa Kafara kama angekufa Moja Kwa Moja bila ya Kufufuka tena.
Hiyo kwa kweli ingestahili kuitwa KAFARA.
Kwa sababu hapo itahesabika ni kweli kama Yesu ni mwana kipenzi cha Mungu kama alivyoripotiwa alitolewa Kafara na habari yake iliishia hapo.
Ingekuwa ni rekodi ya kueleweka kimantiki.
Lakini kusema Yesu alijitoa Kafara kwaajili yetu huku akijua atafufuka au kufufuliwa ni kinyume na MSINGI wa KAFARA. Hiyo haiwezi kuitwa KAFARA.
Huo ni utapeli, ujanjaujanja ambao hata kwenye siasa za wanadamu tunaziona kila siku.
Kwenye siasa za ulaghai ni Jambo la kawaida kiongozi Fulani kutolewa Kafara na viongozi wenzake au Kujitoa Kafara kwaajili ya viongozi wenzake kwa Nje watu wanamuona alitolewa au kujitoa Kafara lakini kwa ndani kumbe ni drama, igizo ambalo watu wamepanga kumtoa au ajitoe kafara alafu baada ya muda fulani watampa cheo kingine. Au kumhamisha sehemu nyingine ya Kazi.
Au awe hafanyi Kazi lakini yupo kwenye payroll ya serikali. Huo ni utapeli, ujanjaujanja.
Kama Yesu alijua atafufuliwa au atafufuka haikuwa na maana ya Yeye kusema atajitoa uhai au mungu amemtoa mwanaume mpendwa ampendaye kwaajili ya wanadamu wakati huohuo hakumtoa Bali alimfufua na alipaa kukaa Mkono WA kuume wa Babaye.
Hivi kuna Kafara ya namna hiyo kweli?
Kafara ni kupoteza Jambo Fulani lenye thamani mazima. Yaani hutolipata tena. Una umefanya hivyo kwaajili ya Upendo ili upate Jambo zuri au uweka Hali ikae Sawa..
Mtu anakuambia Yesu katolewa Kafara au alikufa kwaajili yake alafu Muda huohuo anakuambia yupo mbinguni. Huo kama sio Mchezo wa kuchezeana akili ni kitu gani?
Yaani mtu upate uchungu wa Mtu aliyejitoa Kafara ambaye alijua atafufuka😂😂 Kweli.
Kwa minajili hiyo ni aidha Yesu alisulubishwa akafa na hakufufuka. Ili iitwe Kafara na ndio hayupo Mbinguni.
Au Yesu hakufa msalabani ila alipalizwa kama baadhi ya maandiko yanavyoripoti ikiwemo Quran.
Kwa sababu kama alifufuka Basi haikuwa Kafara.
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
KIFALSAFA "KIMANTIKI" YESU HAKUTOLEWA KAFARA. DUNIA IMEDANGANYWA.

Hivi ni macho yangu yanasoma hili chapisho ama?Lakini kusema Yesu alijitoa Kafara kwaajili yetu huku akijua atafufuka au kufufuliwa ni kinyume na MSINGI wa KAFARA. Hiyo haiwezi kuitwa KAFARA.
Achana na istilahi bro,Wala usikaze fuvu soma uelewe wanachomaanisha na kukitaka na then ulete logical argument zako na sio kudoubt kilichoandikwa bila kukuelewa.Mmmh
Utata unaanzia kwenye istihali Kafara.
Ukifuatilia Kafara kama Kafara Yesu kama alitolewa Kafara hakupaswa awepo baada ya kutolewa au kujitoa Kafara.
Swali la Pili, bado ni zito
Na kuhusu Hilo neno KAFARA,hii ni lugha(sanaa) na sio sayansi(Kwamba maana yake haibadiliki Dunia nzima),maana yake inaeza kuwa zaidi ya Moja na sio Ile Moja uloijua miaka yako yote ya kuishi duniani!!!Achana na istilahi bro,Wala usikaze fuvu soma uelewe wanachomaanisha na kukitaka na then ulete logical argument zako na sio kudoubt kilichoandikwa bila kukuelewa.
Kabla ya Kusulubiwa na kufariki Kisha kukufuka ilikuwa ili uondolewe zambi lazima uende kwa kuhani na Mbuzi, kondoo, ng'ombe au Mnyama yeyote ambapo baada ya kutubu zambi zako wale WANYAMA wanateketezwa lakini kupitia damu ya YESU hakuna Tena Cha kuteketezaKIFALSAFA "KIMANTIKI" YESU HAKUTOLEWA KAFARA. DUNIA IMEDANGANYWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Angalizo: Mada hii inaweza isiwafae watu wote hasa watu wale wenye Itikadi na hisia Kali za kidini. Hivyo kama Taikon Master kwa kulijua Hilo, nashauri wewe kama ni wale wenye Itikadi Kali au Imani Kali Basi unaweza kupuuzia Mada hii na kuidharau ukaishia tuu hapahapa. Kuendelea kusoma itahesabika kutumia Uhuru wako kuchagua Jambo litakaloweza kukuumiza . Hivyo maumivu hayo Mimi sitahusishwa.
Tuendelee.
Tangu tukiwa watoto Wakristo tumekuwa tukifundishwa kuwa Yesu Kristo alikufa kwaajili yetu, alitolewa Kafara ili binadamu Wapate uzima na sio uzima tuu Bali uzima wa MILELE.
Yohana anatuambia hivi:
Yohana 3:16
16 “Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Aya nyingi ndani ya Biblia hasa katika vitabu vya Injili vinaeleza kuwa Yesu Kristo alikuwa ni Kafara kwaajili ya ondoleo la dhambi za wanadamu.
Waandishi wa Biblia wamejitahidi Sana kumpa Uhusika wa ajabu Yesu na kubwa zaidi ni Hilo la Kujitoa Kafara, Kufa kwaajili ya wanadamu.
Na mwisho Kabisa Kufufuka katika Wafu.
Mimi sina tatizo na Yesu Kujitoa Au kutolewa Kafara kwa Sababu wapo watu wengi waliojitoa Kafara na hata hivi Leo wapo watu wanaojitoa Kafara kwaajili ya Familia Zao na mataifa Yao.
Akili yangu inaanza Kupata shida pale ambapo Mtolewa Kafara amefufuka.
Tukio la Kufufuka kwa Yesu kama ilivyoripotiwa katika vitabu vya Injili ndilo linaloondoa dhana zima ya KAFARA ya Yesu Kristo.
Ili kitu au Jambo lisemwe limetolewa Kafara lazima lipotee na lisipatikane Tena na hakuna namna nyingine ya kulirejesha tena Jambo hilo.
Kafara ni kutoa na kupoteza Jambo la thamani Sana ili mtu apate Jambo jingine la muhimu au la thamani zaidi.
Mfano mtu anaweza kutoa Kafara Muda wake ili apate Jambo Fulani.
Kafara iliyotolewa haiwezi kurudi.
Kafara za uhai.
Unakuta mtu anatoa uhai wake kwaajili ya Familia au taifa lake. Uhai uliotolewa hauwezi kurudishwa tena. Hiyo inaitwa Kafara.
Kafara inayoweza kurudishwa haiitwi KAFARA inaweza kupewa jina jingine.
Kuna visa vya watu waliowatoa Kafara wazazi au watoto wao ili wajipatie Utajiri au vyeo. Hizo ni Kafara na zile Kafara haziwezi kurudi kamwe. Unapomtoa mzazi au mtoto Kafara haitarajiwi na haiwezekani mtoto au mzazi huyo kurudi tena. Yaani ndio umempoteza hivyo ili wewe upate utajiri au cheo Fulani. Hiyo ni KAFARA.
Tukirejea kwenye Kafara na dhabihu za wakati wa Musa. Wanyama waliokuwa wakitolewa Kafara au dhabihu ndio ilikuwa ntolee hiyo. Huwezi kumrudisha kondoo au mbuzi aliyejinjwa kwaajili ya Kafara.
Yesu alipokufa na kusulubishwa kwaajili ya wenye dhambi kama ilivyoripotiwa kwenye Injili. Ingekuwa Kafara kama angekufa Moja Kwa Moja bila ya Kufufuka tena.
Hiyo kwa kweli ingestahili kuitwa KAFARA.
Kwa sababu hapo itahesabika ni kweli kama Yesu ni mwana kipenzi cha Mungu kama alivyoripotiwa alitolewa Kafara na habari yake iliishia hapo.
Ingekuwa ni rekodi ya kueleweka kimantiki.
Lakini kusema Yesu alijitoa Kafara kwaajili yetu huku akijua atafufuka au kufufuliwa ni kinyume na MSINGI wa KAFARA. Hiyo haiwezi kuitwa KAFARA.
Huo ni utapeli, ujanjaujanja ambao hata kwenye siasa za wanadamu tunaziona kila siku.
Kwenye siasa za ulaghai ni Jambo la kawaida kiongozi Fulani kutolewa Kafara na viongozi wenzake au Kujitoa Kafara kwaajili ya viongozi wenzake kwa Nje watu wanamuona alitolewa au kujitoa Kafara lakini kwa ndani kumbe ni drama, igizo ambalo watu wamepanga kumtoa au ajitoe kafara alafu baada ya muda fulani watampa cheo kingine. Au kumhamisha sehemu nyingine ya Kazi.
Au awe hafanyi Kazi lakini yupo kwenye payroll ya serikali. Huo ni utapeli, ujanjaujanja.
Kama Yesu alijua atafufuliwa au atafufuka haikuwa na maana ya Yeye kusema atajitoa uhai au mungu amemtoa mwanaume mpendwa ampendaye kwaajili ya wanadamu wakati huohuo hakumtoa Bali alimfufua na alipaa kukaa Mkono WA kuume wa Babaye.
Hivi kuna Kafara ya namna hiyo kweli?
Kafara ni kupoteza Jambo Fulani lenye thamani mazima. Yaani hutolipata tena. Una umefanya hivyo kwaajili ya Upendo ili upate Jambo zuri au uweka Hali ikae Sawa..
Mtu anakuambia Yesu katolewa Kafara au alikufa kwaajili yake alafu Muda huohuo anakuambia yupo mbinguni. Huo kama sio Mchezo wa kuchezeana akili ni kitu gani?
Yaani mtu upate uchungu wa Mtu aliyejitoa Kafara ambaye alijua atafufuka😂😂 Kweli.
Kwa minajili hiyo ni aidha Yesu alisulubishwa akafa na hakufufuka. Ili iitwe Kafara na ndio hayupo Mbinguni.
Au Yesu hakufa msalabani ila alipalizwa kama baadhi ya maandiko yanavyoripoti ikiwemo Quran.
Kwa sababu kama alifufuka Basi haikuwa Kafara.
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Hayo NI mafundisho ya biblia au NI misingi ya kanisa (ukristo)?Ni lazima uheshimu imani hiyo inao kuunganisha kwa Mungu wako, utafikaje kwa Mungu wakati unapinga misingi ya ukuristo na papa mtakatifu.
Ukristo umejengeka kwenye "trinity" (utatu) na theory ya utatu kuna kufa kufufuka na kupaa tena kulejea kwa huyu huyu alio paa.....usipo heshimu hivo na kuamini wewe sio mkristo tena.
Hata wayahudi waliikataa hii na wewe unaungana naoKIFALSAFA "KIMANTIKI" YESU HAKUTOLEWA KAFARA. DUNIA IMEDANGANYWA.