Kifalsafa "kimantiki" Yesu hakutolewa Kafara. Dunia imedanganywa

Afadhali wavaa kobazi wao wanajua mtu wao alikufa wala hakufufuka wala hakupaa mbinguni amezikwa kama wengine na kaburi lake lipo hadi leo ila wanaamini siku ya kiama watakutana naye huko atakusanya umati wake.
Mmh makubwa mbona mada nyingine unahamia pengine unaongozwa na mhemuko mkuu sio bure
 

Mmmh

kwani unafikiri kafara ya Yesu ilitakiwa kufanyika vipi? je unaamini kafara inafanyika juu ya mwili na sio roho?

Utata unaanzia kwenye istihali Kafara.
Ukifuatilia Kafara kama Kafara Yesu kama alitolewa Kafara hakupaswa awepo baada ya kutolewa au kujitoa Kafara.

Swali la Pili, bado ni zito
 
Qyesu aliuawa kwa sababu alienda kinyume na mafundisho ya kiyahudi, wala hakufia mtu yeyote
Alikuwa akiwarekebisha hao Wayahudi na kuwaletea watu Habari Njema za kuwakomboa watu, na alikufa katika hilo ndio maana mabadiliko makubwa yametokea duniani kwa wale wanaomwamini na kumfuata kisawasawa.
 
Afadhali wavaa kobazi wao wanajua mtu wao alikufa wala hakufufuka wala hakupaa mbinguni amezikwa kama wengine na kaburi lake lipo hadi leo ila wanaamini siku ya kiama watakutana naye huko atakusanya umati wake.

Waislam wao wanaamini Issa wanayemhusisha na Yesu hakufa na Sababu wanazo
 
Sasa Mkuu unatoa Kafara kitu Fulani alafu unauhakika utakipata kitu kilekile alichotoa Kafara. Hiyo ni KAFARA kweli?
Nimeeleza hapo juu kuwa Yesu baada ya kufa, alifufuka na kamwe hakuishi tena maisha ya kawaida. Alionekana katika roho kwa namna ya ajabu kabisa kwani aliweza kuingia ndani walipokuwa akina Petro bila kupita mlangoni. Alipoteza ile hali ya kawaida aliyokuwa nayo toka wakati ule hadi leo. Na ilibidi aondoke hapa ulimwenguni baada ya kafara hiyo.
 
Asingefufuka Ukristo usingekuwepo kufufuka means kuyashinda mauti au kuishinda kuzimu
 
Kabla hajaja duniani aliitwa Neno,Yesu akiwa mwanadamu yaani kuuvaa mwili,kurudi mbinguni ni kuhitimisha kazi ya ukombozi
 
Mmmh



Utata unaanzia kwenye istihali Kafara.
Ukifuatilia Kafara kama Kafara Yesu kama alitolewa Kafara hakupaswa awepo baada ya kutolewa au kujitoa Kafara.

Swali la Pili, bado ni zito
sio zito, binadamu anapotolewa kafara kama ulivyosema kinahusisha damu, na uwepo wake duniani kuto kuwepo tena, lakini vipi kuhusu roho ya huyo binadamu?
 
You have a point. Be blessed brother.
 





What are the infallible proofs of Jesus' resurrection?

The empty grave clothes and the folded face cloth (John 20:1-9) The crucifixion scars and wounds on Jesus' resurrection body (John 20:26-27) The miracle of the catch of 153 fish, some of which Jesus cooked and ate with 7 of his disciples (John 21:1-11) Conversion of Saul to Paul on the road to Damascus (Acts 9:1-9)9 Mei 2019
 
Lakini kusema Yesu alijitoa Kafara kwaajili yetu huku akijua atafufuka au kufufuliwa ni kinyume na MSINGI wa KAFARA. Hiyo haiwezi kuitwa KAFARA.
Hivi ni macho yangu yanasoma hili chapisho ama?
Hivi ni wewe taikon kweli ninae kufahamu?

Tuache hayo siyo muhimu sana...

Bwana mtibeli, naamini unafahamu kwamba hakuna kitu au jambo lisilokuwa na msingi au mwanzo....

Swali: Kwamujibu wa vitabu vya kiimani iwe Qaran au Biblia, nani muanzilishi/aliyebeba msingi wa sadaka ya kafara?
 
Mmmh



Utata unaanzia kwenye istihali Kafara.
Ukifuatilia Kafara kama Kafara Yesu kama alitolewa Kafara hakupaswa awepo baada ya kutolewa au kujitoa Kafara.

Swali la Pili, bado ni zito
Achana na istilahi bro,Wala usikaze fuvu soma uelewe wanachomaanisha na kukitaka na then ulete logical argument zako na sio kudoubt kilichoandikwa bila kukuelewa.
 
Achana na istilahi bro,Wala usikaze fuvu soma uelewe wanachomaanisha na kukitaka na then ulete logical argument zako na sio kudoubt kilichoandikwa bila kukuelewa.
Na kuhusu Hilo neno KAFARA,hii ni lugha(sanaa) na sio sayansi(Kwamba maana yake haibadiliki Dunia nzima),maana yake inaeza kuwa zaidi ya Moja na sio Ile Moja uloijua miaka yako yote ya kuishi duniani!!!
 
Kabla ya Kusulubiwa na kufariki Kisha kukufuka ilikuwa ili uondolewe zambi lazima uende kwa kuhani na Mbuzi, kondoo, ng'ombe au Mnyama yeyote ambapo baada ya kutubu zambi zako wale WANYAMA wanateketezwa lakini kupitia damu ya YESU hakuna Tena Cha kuteketeza
 
Hayo NI mafundisho ya biblia au NI misingi ya kanisa (ukristo)?
 
Hata wayahudi waliikataa hii na wewe unaungana nao

hili suala la kufufuka kwa Yesu ni la kiimani na sii suala la kifalsafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…