Kifesi aamua kuacha kazi kwa Diamond Platinumz

Hapa kila mtu atasema lake lakini mwisho wa siku ukweli anaujua yeye na Mungu wake.
 
Alikua anampigia chapuo diamond, kifesi alikua yupo tayarii kutukanwa ila lazma atoe updates za diamond

[emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka HOD alivyokua busy kuleta updates za Diamond na kuongeza chumvi aliwahi kuapa Diamond hawezi rudi kwa Wema alafu boss wake akamrudia duh nawaza ivi Heaven On Earth nae alikimbilia wapi maana walikua hawakubaliani kabisa.
 
Wasabato wanamisimamo ya ajabu,yaani hawa chuoni test ikiwekwa jumamosi hayo makelele yake mpaka test inapangiwa siku nyingine na ndio maana si shangai ,ila kwakua ameamua kujiajiri ni swala zuri.
kwan huo msimamo wa ajab kama ulivyouita unakupunguzia nn ww??
 
Kifesi.. Mtani wangu huyo wa usukumani. Anafuata ndoto zake Afrika Kusini.. Naamini atafanya kazi rasmi na kampuni za marehemu Ivan kupitia Zari. Zile za Brooklyn na nyinginezo.. Ni sahihi. Kwa Diamond ametengeneza jina na uzoefu na bahati nzuri hawakuwa na mkataba.. Kwa sababu ni wanaume, naamini hawatatupiana mipasho. Life must move on!
 
Ingawaje 'imeeditiwa' lakini uandishi wake bado ni kizungumkuti
 
Zari kamponza... madale imevamiwa na team wema kina lokole.... família imegawanyika wapo wanaomtaka zari wapo wanaomtaka wema.... Kifesi alikuwa team zari
Hivi vigezo alivyotumia diamond kumpenda Zari unavijua?
 
Safi jamaa kaacha kazi kiroho safi, tayari ana jna hapa town hawezi kufa njaa.
Kila la kheri
ikilitumia vizuri jina lake na kuweka ustaa pembeni, ataishi vizuri sana.

mfano ni producer lamar wa studio ya fishcrab, kwa sasa anauza biriani na kutoa huduma ya kuosha magari katika car wash yake.... anapiga mpunga kama kawa na maisha yanaendelea. kuajiriwa ni utumwa sana.
 
Kweli mawanangu huwez jua ukute Mungu kampa nyota ya mafanikio zaidi aka pambane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…