Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Alikua anampigia chapuo diamond, kifesi alikua yupo tayarii kutukanwa ila lazma atoe updates za diamondAlikuwa na hasira balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua anampigia chapuo diamond, kifesi alikua yupo tayarii kutukanwa ila lazma atoe updates za diamondAlikuwa na hasira balaa.
Aaah mko vzuri. Ntamtafuta
Heaven on desert his I'dmpiga picha mkuu wa Diamond. hata hapa Jf yupo nimesahau I'd anayotumia.
Nipo ndugu nipo....Aaah mko vzuri. Ntamtafuta
Halaf sista mbona sku hizi na wewe umepotea ki aina?
kumbe huyu kifesi yupo JF muda sasa ndio muda wake aombe moderators wabadili ID yake iitwe jina maarufu aanze kupiga kazi sasa!!..Kwanini heaven on desert unadanganya watu umeacha kazi kwa kupenda?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna mama alikuwa msabato askari polisi mwaka 2008 akaacha kazi akaanza kuuza mchicha
Itabidi tu apambane na hali yake!Sasa siatadumaa?
Mwenzangu kidogo unaeza kuwa chanzo cha kuaminikaHeaven on desert his I'd
[emoji1] kabisa mkuu.Itabidi tu apambane na hali yake!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ledada cheichei
Alikua anampigia chapuo diamond, kifesi alikua yupo tayarii kutukanwa ila lazma atoe updates za diamond
Tutake radhi sema baadhi na sio woteWanaume wa darisalam ndio wana mawazo hayo ya kiajiriwa
kwan huo msimamo wa ajab kama ulivyouita unakupunguzia nn ww??Wasabato wanamisimamo ya ajabu,yaani hawa chuoni test ikiwekwa jumamosi hayo makelele yake mpaka test inapangiwa siku nyingine na ndio maana si shangai ,ila kwakua ameamua kujiajiri ni swala zuri.
Hivi vigezo alivyotumia diamond kumpenda Zari unavijua?Zari kamponza... madale imevamiwa na team wema kina lokole.... família imegawanyika wapo wanaomtaka zari wapo wanaomtaka wema.... Kifesi alikuwa team zari
ikilitumia vizuri jina lake na kuweka ustaa pembeni, ataishi vizuri sana.Safi jamaa kaacha kazi kiroho safi, tayari ana jna hapa town hawezi kufa njaa.
Kila la kheri
Kweli mawanangu huwez jua ukute Mungu kampa nyota ya mafanikio zaidi aka pambaneikilitumia vizuri jina lake na kuweka ustaa pembeni, ataishi vizuri sana.
mfano ni producer lamar wa studio ya fishcrab, kwa sasa anauza biriani na kutoa huduma ya kuosha magari katika car wash yake.... anapiga mpunga kama kawa na maisha yanaendelea. kuajiriwa ni utumwa sana.