Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Mahakama itachunguza ukweli wote
 
Inasikitisha sana. Baba kashiriki kumuua mwanae, umemzaa na kumlea miaka yote unakuja kumuua kwa tamaa za mali. Unaenda kufungwa unaiacha familia inaangaka. Rai yangu kwa serikali iiangalie iyo familia uyo mama asaidiwe na wanae maana nje na tukio na mmewe aneenda jera sasa atabaki na wakat mgumu kuilea familia. Sina maana ya mme hastahili kuadhibiwa tena ikiwezekana achomwe kiungo kimoja baada ya kingine ila tu mama asaidiwe. Hawa viongozi wa dini wa siku iz dah! Kwel nenda kanisan au msikitin kwa Mungu wako tu na c kwa binadam wala kwa kiongozi wa dini kwa kumwamin.
 
Wamtaje mganga na tajiri aliyewatuma na wote wanyongwe ili iwe fundisho
Rais Samia angalau aache legacy ya mamlaka yake ya urais kwa case hii! Asiache kutia mkono wake watakaopatikana na hatia wanyongwe; ni jukumu lake la kikatiba.

Binti Asimwe ametendewa ukatili sana - mzazi wake; kiongozi wa kiroho - angekimbilia wapi jamani kama waliopaswa kumlinda wamemtenda vile?

Binti, mtoto, mlemavu, yaani sifa zote za kulindwa alikuwa nazo ila ndio hivyo binadamu waliogeuka mashetani!
 
Kuna wazazi ni mashetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…