DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Na wanaotupa watoto vyooni ni kina nani?
Amesahau, japo ni wachache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanaotupa watoto vyooni ni kina nani?
Wengi wao Wanakuwa wamepata kichaa baada ya kujifungua. Hiyo hali huwa huwapata wanawakeNa wanaotupa watoto vyooni ni kina nani?
Sio wengi ndo maana kitafiti wanamezwa na wengi wenye roho nzuri. Regular occurance of an event inatengeneza general lawAmesahau, japo ni wachache
Watu kama hawa wakithibitika na mahakama na kuhumiwa kunyongwa sheria ipitishwe ya kumlazimisha Rais lazima asaini hukumu kutekelezwa ndani ya siku 30 siyo kwenda kula ugali wa bure gerezani.,Tamaa za aina hii hata shetani hazitaki ndomana wanakamatwa kirahisi, Hongereni sana polisi, tunamsubiri Hakimu.
Ukiona hivi ujue viongozi wa dini wa aina hiyo wamepungukiwa utukufu wa Mungu pamoja na nguvu za kiroho . Tamaa mbaya imewaelemea na shetani anawatawala .Dini mpka sasa imeshindwa kujenga maadili kwenye jamii pamoja na vitisho vyote vya jehanam , wao ndio wamekuwa mstari wa mbele kutapeli watu nakufanya mambo ya hovyo kwnye jamii .
Aambiwe ukweliYani waziri katamba sana kana kwamba alizuia tukio ,asijipe umaarufu kupitia tukio ambalo limetuumiza sana mioyo yetu 😩
Mteja wanae na yupo,paroko amtaje faster kabla hajakutwa kajinyonga huko mahabusu!!Yani hata mteja hawakuwa naye! Huu ni wendawazimu wa aina gani!
HYo ni maneno ya kujifariji tu kuna watu wala hawana dini wala kuamini Mungu ila wana utu .Ukiona hivi ujue viongozi wa dini wa aina hiyo wamepungukiwa utukufu wa Mungu pamoja na nguvu za kiroho . Tamaa mbaya imewaelemea na shetani anawatawala .
Murder case ni sensitive issue lazima mahakama ijiridhishe pasipo na shaka yoyote.Waanze na huyo paroko
Kuna jambo haliko sawa.Murder case ni sensitive issue lazima mahakama ijiridhishe pasipo na shaka yoyote.
Watanzania sasa hivi ni wachawi sana kukupakazia kesi au kukuingiza matatizoni wao kwao siyo shida.
Inanipa shida huduma anazohudumiwa paroko eti afanye deal la mauwaji halafu ndio watafute mteja.
Kwa mtu mwenye akili timamu hili haliingii akilini.
Huelewi nini mkuu-Ananiel Nkya kasema chazo cha mauwaji ya Albino ni uchaguzi . Imani yake inapingana na maelezo ya polisi. Ananiel Nkya PhD hawezi kuwa mtu wa kutoa taarifa zisizo na ukweliBado sijaelewa mada.
Kama mleta mada wewe mwenyewe umeelewa mada yako basi embu tueleweshe na sisi wengine tuelewe.