Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi mabaya ya maniiBaba yako alipoteza Shahawa zake bure tu kukojoa ndani ukazaliwa wewe shoga
Which is which?Huyo ni padre.
Kwani Padre kufanya jinai kutabadili Imani ya kabisa?
Mkuu,kwani kosa la mleta mada ni lipi kwenye huu uzi?Baba yako alipoteza Shahawa zake bure tu kukojoa ndani ukazaliwa wewe shoga
Dini mpka sasa imeshindwa kujenga maadili kwenye jamii pamoja na vitisho vyote vya jehanam , wao ndio wamekuwa mstari wa mbele kutapeli watu nakufanya mambo ya hovyo kwnye jamii .Kwa suala la padre kujihusisha na huu ukatili , wale wanaopinga dini wamejichukulia point 3 muhimu.
Mambo ya dini zenu za Wazungu na Waarabu hayo 🤣🤣🤣Ndugu zangu Watanzania
Nimesema na niliandika humu kuwa Damu ya mtoto yule mwenye Ulemavu wa ngozi aliyeuwawa kikatili Itazungumza na kunena mpaka watu wote waliohusika wakamatwe.sasa wote wamekamatwa akiwepo baba Mzazi wa mtoto aliyeshawishiwa na Paroko kufanya kitendo hicho cha kinyama.
Ambaye paroko huyo alimtafuta mganga wa kienyeji kwa ajili ya kufanya biashara hiyo haramu ya viungo vya binadamu. Watu hao na wengine ambao jumla yao ni tisa wamekutwa pia na viungo hivyo vya binadamu katika mifuko wakiwa wapo katika harakati za kutafuta wateja.View attachment 3020834
Unaongea ukweli au unadhihaki tu mkuuHuyu Lucas mwashambwa ukoo wao ndiyo wale wachuna ngozi huko Mbozi
Tutajie ni paroko wa palokia Gani ACHA umbeya na uchonganishi katoriki hakuna paroko wa namna hiyoNdugu zangu Watanzania
Nimesema na niliandika humu kuwa Damu ya mtoto yule mwenye Ulemavu wa ngozi aliyeuwawa kikatili Itazungumza na kunena mpaka watu wote waliohusika wakamatwe.sasa wote wamekamatwa akiwepo baba Mzazi wa mtoto aliyeshawishiwa na Paroko kufanya kitendo hicho cha kinyama.
Ambaye paroko huyo alimtafuta mganga wa kienyeji kwa ajili ya kufanya biashara hiyo haramu ya viungo vya binadamu. Watu hao na wengine ambao jumla yao ni tisa wamekutwa pia na viungo hivyo vya binadamu katika mifuko wakiwa wapo katika harakati za kutafuta wateja.View attachment 3020834
Unafahamu kwamba kuna maparoko na maaskofu wengi tu dunia hii wamewahi kukamatwa kwa tuhuma za ulawati??Baba paroko siyo padre,wamesema ni kijana alikua mlevi akachukuliwa na kanisa kulelewa ili aache pombe,siyo Kwamba na yeye ni paroko
ACHENI kulichafua kanisa, before hamjafanya utafiti
Wanapenda kumsena Lucas lakini akipandisha uzi wanakimbilia kusoma!Mkuu,kwani kosa la mleta mada ni lipi kwenye huu uzi?
Uko sahihi mkuusi kila asemaye Bwana Bwana atakayeurithi ufalme wa Mungu. tuko kwenye dunia ambayo Magugu yamechanganyika sana na ngano kiasi cha kwamba usipokuwa makini utashindwa kutofautisha ngano ni ipi na magugu ni yapi
Lakini mkulima anayelijua shamba lake vizuri hababaiswi na magugu yaliopamba pamba yafanane na ngano bali ngano safi inatambulika tu kirahisi na mkulima aliyewekeza mda wake kulielewa shamba lake
Kanisa amelikashifu wapi? Kusema baba Poroko wa Kanisa Katoliki? Hiyo SI ndo cheo Chake au! Hujawahi kwenda polisi?kule kila mtoa taarifa au mtuhumiwa lazima atambulike Kwa majina yake kabila na cheo Chake.Acha kukashifu kanisa kanisa halijamtuma paroko ni yeye mwenyewe na uwendawazimu wake ata hivyo bado hajahukumiwa ni hadi mahakama itoe hukumu hapo ndio vizuri kumjudge sasa..
Na wa kanda ya Nyasa nao wapewe elimu pesa haipatikani kwa kuchuna watu ngoziPongezi za dhati kwa polisi, kesi ya hao wauwaji iwe inatangazwa na hukumu kali isichelewe na kupitia media hukumu iwafikie watanganyika wote ili kukomesha ujinga huu usijirudie, badala ya kufanya kazi kupata pesa tunaua albino, huu ni ujinga uliotukuka, wakomeshwe haswa. How painful it is kuua katoto kasikoweza kujitetea.
Watu wa kanda ile wapewe elimu pesa zinatafutwa kwa jasho si kuua albino tena kabinti kadogo, very shameful kwa wana Geita wote komesheni hiyo mambo.
Kiukweli kifo cha mtoto Asimwe kimetuuma sana wazazi na kuidhalilisha sana nchi yetu. Adhabu kali itolewe haraka kabla hatujasahau, hao maharamia waende jela maisha wakalime kunde!
Migalatia inahamisha hasira zao kwa mleta mada.Angekua ustaadh huyo!!!..wazee wa upendo,pigwa shavu la kulia geuza kushoto
Wamekasirika kusikia Kanisa linahusika na mauaji ya mtoto Albino,povu linawatoka kama wqgonjwa wa kifafa,baba paroko na wenzake wakikutwa na hatia dawa yao kitanzi tu.Wanapenda kumsena Lucas lakini akipandisha uzi wanakimbilia kusoma!
Kama kweli wanakwazika kwanini wasimuignore? Inaonyesha ni jinsi gani Lucas ni role model na wao ni mashabiki zake...!🤸
Wamekasirika kusikia Kanisa linahusika na mauaji ya mtoto Albino,povu linawatoka kama wqgonjwa wa kifafa,baba paroko na wenzake wakikutwa na hatia dawa yao kitanzi tu.
Juzi niliandika kitu kama hikiMigalatia inahamisha hasira zao kwa mleta mada.
Wamekasirika kusikia Kanisa linahusika na mauaji ya mtoto Albino,povu linawatoka kama wqgonjwa wa kifafa,baba paroko na wenzake wakikutwa na hatia dawa yao kitanzi tu.
Mkuu soma historia, watu wa kanisa wamefanya mambo mengi tu mabaya sana tangu karne na karne, hakuna jipya la kustaajabisha hapa kwa huyo paroko kuhusika.Nilisema kama mapadre wanaruhusiwa kwenda bar kunywa pombe, then haya siyashangai.
zamani padre alikuwa anakaa kwenye parish. hatoki pale mpaka kwa sababu maalum. Leo wako kwenye vilabu vya pombe wanakunywa na raia!
wameanza kujenga majumba mijini! ya nini na wewe ni padre maisha yako yako mikononi mwa Pope?