Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Ndugu zangu Watanzania

Nimesema na niliandika humu kuwa Damu ya mtoto yule mwenye Ulemavu wa ngozi aliyeuwawa kikatili Itazungumza na kunena mpaka watu wote waliohusika wakamatwe.sasa wote wamekamatwa akiwepo baba Mzazi wa mtoto aliyeshawishiwa na Paroko kufanya kitendo hicho cha kinyama.

Ambaye paroko huyo alimtafuta mganga wa kienyeji kwa ajili ya kufanya biashara hiyo haramu ya viungo vya binadamu. Watu hao na wengine ambao jumla yao ni tisa wamekutwa pia na viungo hivyo vya binadamu katika mifuko wakiwa wapo katika harakati za kutafuta wateja.View attachment 3020834
Mambo ya dini zenu za Wazungu na Waarabu hayo 🤣🤣🤣
 
Tutajie ni paroko wa palokia Gani ACHA umbeya na uchonganishi katoriki hakuna paroko wa namna hiyo
 
si kila asemaye Bwana Bwana atakayeurithi ufalme wa Mungu. tuko kwenye dunia ambayo Magugu yamechanganyika sana na ngano kiasi cha kwamba usipokuwa makini utashindwa kutofautisha ngano ni ipi na magugu ni yapi

Lakini mkulima anayelijua shamba lake vizuri hababaiswi na magugu yaliopamba pamba yafanane na ngano bali ngano safi inatambulika tu kirahisi na mkulima aliyewekeza mda wake kulielewa shamba lake
Uko sahihi mkuu
 
Acha kukashifu kanisa kanisa halijamtuma paroko ni yeye mwenyewe na uwendawazimu wake ata hivyo bado hajahukumiwa ni hadi mahakama itoe hukumu hapo ndio vizuri kumjudge sasa..
Kanisa amelikashifu wapi? Kusema baba Poroko wa Kanisa Katoliki? Hiyo SI ndo cheo Chake au! Hujawahi kwenda polisi?kule kila mtoa taarifa au mtuhumiwa lazima atambulike Kwa majina yake kabila na cheo Chake.
 
Pongezi za dhati kwa polisi, kesi ya hao wauwaji iwe inatangazwa na hukumu kali isichelewe na kupitia media hukumu iwafikie watanganyika wote ili kukomesha ujinga huu usijirudie, badala ya kufanya kazi kupata pesa tunaua albino, huu ni ujinga uliotukuka, wakomeshwe haswa. How painful it is kuua katoto kasikoweza kujitetea.

Watu wa kanda ile wapewe elimu pesa zinatafutwa kwa jasho si kuua albino tena kabinti kadogo, very shameful kwa wana Geita wote komesheni hiyo mambo.

Kiukweli kifo cha mtoto Asimwe kimetuuma sana wazazi na kuidhalilisha sana nchi yetu. Adhabu kali itolewe haraka kabla hatujasahau, hao maharamia waende jela maisha wakalime kunde!
Na wa kanda ya Nyasa nao wapewe elimu pesa haipatikani kwa kuchuna watu ngozi
 
Angekua ustaadh huyo!!!..wazee wa upendo,pigwa shavu la kulia geuza kushoto
Migalatia inahamisha hasira zao kwa mleta mada.
Wanapenda kumsena Lucas lakini akipandisha uzi wanakimbilia kusoma!

Kama kweli wanakwazika kwanini wasimuignore? Inaonyesha ni jinsi gani Lucas ni role model na wao ni mashabiki zake...!🤸
Wamekasirika kusikia Kanisa linahusika na mauaji ya mtoto Albino,povu linawatoka kama wqgonjwa wa kifafa,baba paroko na wenzake wakikutwa na hatia dawa yao kitanzi tu.
 
Wamekasirika kusikia Kanisa linahusika na mauaji ya mtoto Albino,povu linawatoka kama wqgonjwa wa kifafa,baba paroko na wenzake wakikutwa na hatia dawa yao kitanzi tu.
Migalatia inahamisha hasira zao kwa mleta mada.

Wamekasirika kusikia Kanisa linahusika na mauaji ya mtoto Albino,povu linawatoka kama wqgonjwa wa kifafa,baba paroko na wenzake wakikutwa na hatia dawa yao kitanzi tu.
Juzi niliandika kitu kama hiki
Viongozi wa dini walikuwepo zamani! Siku hizi wengi wao wanathamini pesa kuliko chochoteee
 
Nilisema kama mapadre wanaruhusiwa kwenda bar kunywa pombe, then haya siyashangai.

zamani padre alikuwa anakaa kwenye parish. hatoki pale mpaka kwa sababu maalum. Leo wako kwenye vilabu vya pombe wanakunywa na raia!

wameanza kujenga majumba mijini! ya nini na wewe ni padre maisha yako yako mikononi mwa Pope?
Mkuu soma historia, watu wa kanisa wamefanya mambo mengi tu mabaya sana tangu karne na karne, hakuna jipya la kustaajabisha hapa kwa huyo paroko kuhusika.
 
Back
Top Bottom