Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji


Hata mimi nimeona Instagram wakikoment hivyo baadhi ya watu,
Kama itakua SI kweli basi kanisa litakanusha

Na kama ni kweli basi hii Dunia sijuh hata tukimbilie wapi kama tunao waamini wanatutendea haya 😭😭
 
Msemaji wa jeshi la polisi kachemka na kwenye hili litamkosti
Aliyekamatwa siyo Paroko msaidizi na wala siyo padre.
Ni mraibu ambaye paroko msaidizi alisoma naye aliamua kumchukua parokiani ili aweze kusaidiwa.
Hivyo kumtaja kama baba padre ni watu kutokutumiza majukumu yao katika kufuatilia mambo .
Paroko anaitwa Deodatus Tibakwasa na msaidizi ni Fr.Mathias.
Kifupi katudhalilisha wakatoliki na hatasamehewa kwa hilo.
C &P
 
alafu wanasema jf ni great thinker 😅😅
 
Huyo ni padre.
Kwani Padre kufanya jinai kutabadili Imani ya kabisakua

Tulia basi kwanza, lete hiyo taarifa kinzani. Kwa sasa taarifa ya geshi letu ra porisi ni baba paroko ndio muhusika.
Baada ya kufanya haya kwahyo Kila jumapili aliendelea kuendeleza Ibadan kanisani 😥😥😥😭
 
Nataman isiwe kweli 😭😭
 
Kama wapo wazazi wapumbavu wanawatoa kafara watoto wao eti kisa mali wauze sura mjini, atashindwa vipi baba yake asimwe kumtoa bintie akitanguliza mbele tamaa
Speechless, najaribu to imagine wakati huyu mtoto anataka huruma ya baba yake na baba ndio anamuangamiza, anyway kwa sababu ya Utawala wa Sheria tu lakini huyu mtu ni katili saana bongodili tele
 
Utaambiwa Mungu alishapanga kabla iwe hivyo. Wakati mwingine hizi imani za dini ni uongo mtupu.
 
kuna wale punda wa haki za binadamu wasisikie.
 
Yaani umuelimishe mzazi asiue mwanawe?.. dooh!.. mimi huyo muelimishaji akija kwangu kwanza naanza na yeye!... shenzy... unielimishe mimi? Si matusi ya nguoni kabisa hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…