Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Tunahitaji kuelimisha watu wetu kuhusu kuondokana na Imani za kijinga. Siyo kwa waganga wapiga ramli chonganishi tu, hata kwa mitume na manabii wa uongo.
Watu waondokane na fikra hasi za utajiri wa miujiza.
Ustaarabu ni pamoja na kuwa na Imani zenye fikra chanya kwa Mungu mwenye enzi yote, Muumba wa mbingu na nchi.
Ni upumbavu wa kiwango cha juu kuua na kuuza viungo vya albino.
 
Huelewi nini mkuu-Ananiel Nkya kasema chazo cha mauwaji ya Albino ni uchaguzi . Imani yake inapingana na maelezo ya polisi. Ananiel Nkya PhD hawezi kuwa mtu wa kutoa taarifa zisizo na ukweli
Hakuna mahala Dr.Nkya alihitimisha kama unavyodai wewe. Yeye ameuliza swali tu;i nakuwaje matukio ya mauaji yanafanyika sana miaka yenye uchaguzi?.
 
Screenshot_20240619-204701.jpg
Screenshot_20240619-204716.jpg

Naskia kilichomponza padri ni kumsajilia mtu line ya simu kwa kutumia jina lake.
Ila eti hahusiki
 
Mungu ana mpangia mtu aje duniani kufanya nini toka akiwa tumboni mwa mama kabla hajazaliwa . Akiwa duniani , shetani anapambana kumfanya binadamu awe mkaidi , asimtii Mungu .
Kwa hiyo kumbe mpango wa Mungu muweza wa yote huwa unaharibika?
 
Back
Top Bottom