Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
NdiyoLaini ya Simu? Inasoma Jina la Paroko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoLaini ya Simu? Inasoma Jina la Paroko?
Acha kutoa ufafanuzi uchwara hapa.Msemaji wa jeshi la Polisi kachemka na kwenye hili litamgharimu.
Aliyekamatwa siyo Paroko msaidizi na wala siyo Padre.
Ni mraibu ambaye Paroko msaidizi alisoma naye na aliamua kumchukua Parokiani ili aweze kusaidiwa.
Hivyo kumtaja kama Baba Padre ni watu kutokutimiza majukumu yao katika kufuatilia mambo .
Paroko anaitwa Deodatus Tibakwasa na msaidizi ni Fr.Mathias.
Kifupi.
Police wanajua jinsi ya kufanya kazi.Mahakama isiishie kwa hawa watuhumiwa tu wakibanwa korodani list inaweza kuongezeka, kawaida biashara yoyote huwa na mtandao, hapa ndo pa polisi kuanzia, hasa wakimning'iniza mganga wa jadi atataja na waganga wenzake wenye madili hayo ya kuua albino.
Hapa inabidi mtandao mzima utafutwe na polisi tukio kama hili lisijirudie tena maana kuua albino ni laana na fedheha kwa nchi nzima.
Face saving mkuu,hawataki kanisa moja takatifu la mitume lichafuke,maana uchafu huko ni mwingine,kuanzia kulawiti watoto mpaka kulawatiana wao na Sasa wanahalalisha ndoa kabisa,Sasa ukiongeza na hili la albino,doh!!!..jk aliwachana 'baadhi yenu mnauza unga'..wakanuna,wakaitisha kongamano la vijana Koko bichiHii comment nimeikuta sehemu nyingi sana, lakini inafikirisha. Taarifa ya polisi imetaja "Paroko msaidizi" na ili awe Paroko msaidizi lazima awe padri tena mwandamizi. Nyie mnaosema "ni kijana aliyekuwa nalelewa tu" mnataka kusema polisi wamekurupuka?? Kwasababu wao ndio waliomtaja kwenye taarifa yao.
Kama wamekurupuka maana yake tusubiri waje kuomba radhi na kusahihisha makosa yao lakini kwasasa kinachosomeka ni paroko msaidizi
Duuh haki za binadamu watakuja juuNapendekeza adhabu ya kwanza ichukuliwe sindano ichomwe motoo mpaka iwe nyekundu halafu waiingize kwenye tundu la bolo zao,tena iwe live.
Hiv kipindi wanamnyofoa na Baba yake yupo anaona duuhWee umejuaje km walianza kutoa viungo kabla ya kumuua?
KUna tetesiNaam
Hata mimi siamini, alafu taarifa zinasema waarifu wamekamatwa wakitafutq mteja means pesa bado haijapatikana sasa Umtoe mtoto wakamuue kweli ni jambo gumu sanaSijui kama baba mzazi kweli ametenda ivo, aliingia tamaa ya tsh ngp?
Hata mimi siamini, alafu taarifa zinasema waarifu wamekamatwa wakitafutq mteja means pesa bado haijapatikana sasa Umtoe mtoto wakamuue kweli ni jambo gumu sana
Wapuuzi sana hao. Tamaa na roho mbaya za kibinafsi zitawapoteza. Hawa haina haja ya kwenda kula ugali jela.Hata mimi siamini, alafu taarifa zinasema waarifu wamekamatwa wakitafutq mteja means pesa bado haijapatikana sasa Umtoe mtoto wakamuue kweli ni jambo gumu sana
Aisee hata mimi kuchinja hata bata napata tabu.Kuua mtu inahitaji uwe na roho ya ibilisi.
Mimi hata kuku napata shida sana kuchinja.
Mngepataje watoto??Bila wanaume dunia ingekua salama....
Mkuu kama kweli huyo Baba yake na mtoto kafanya hivyo labda ana tatizo la akili au alilogwa na huyo mgangaBaba Asimwe alikuwa na njaa kali kama ya Sudan au Gaza mganga na paroko badala ya kumpa msosi, labda walimpa "cha Arusha" , advance payment na dili la kuua mwanae, yaani I can not imagine, jinsi I love my
kids na ninavyowanunulia majezi yao ya Azam wakavaa na kupendeza, bora nife maskini kuliko utajiri wa shetani
Unapandwa wwya Lisu vipi?
Hizi dini zimevamiwaWalitumwa na Baba Paroko