Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kuna mambo magumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliyemquote alisema labda Polisi ndio wamekosea kumtaja Paroko ndio mimi nikamjibu hivyo.Wote walikosea
Walitumwa na Baba ParokoWawataje waliowatuma ili kukomesha kabisa tabia hiyo
Hawajakosea wala nini.Paroko au wamekosea?
Paroko kahusika polisi hawawezi kutoa taarifa bila kujiridhisha.Paroko au msaidizi wake hawawezi kuhusika, Kuna kitu hakiko sawa kwenye taarifa ya jeshi la polisi. Muda utaongea. Wenye akili kubwa watanielewa.
Hakuna mahala Dr.Nkya alihitimisha kama unavyodai wewe. Yeye ameuliza swali tu;i nakuwaje matukio ya mauaji yanafanyika sana miaka yenye uchaguzi?.Huelewi nini mkuu-Ananiel Nkya kasema chazo cha mauwaji ya Albino ni uchaguzi . Imani yake inapingana na maelezo ya polisi. Ananiel Nkya PhD hawezi kuwa mtu wa kutoa taarifa zisizo na ukweli
Mungu ana mpangia mtu aje duniani kufanya nini toka akiwa tumboni mwa mama kabla hajazaliwa . Akiwa duniani , shetani anapambana kumfanya binadamu awe mkaidi , asimtii Mungu .Kwa hyo Mungu anampangia mtu kila kitu?
Dah! Mkuu umewaza Nini?😅😅Hawakawii kusema kuwa yule waliyemuita kwenye kamati ya maadili ndo amewatuma..!! Time will tell.
Baba paroko🤣
Kwa hiyo kumbe mpango wa Mungu muweza wa yote huwa unaharibika?Mungu ana mpangia mtu aje duniani kufanya nini toka akiwa tumboni mwa mama kabla hajazaliwa . Akiwa duniani , shetani anapambana kumfanya binadamu awe mkaidi , asimtii Mungu .
Paroko?Hapo kwa paroko I am not surprised once mushrki always mushrki
😅😅😅Unyama sanaBaba paroko🤣
Paroko?Kwa hiyo kumbe mpango wa Mungu muweza wa yote huwa unaharibika?