Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Hii comment nimeikuta sehemu nyingi sana, lakini inafikirisha. Taarifa ya polisi imetaja "Paroko msaidizi" na ili awe Paroko msaidizi lazima awe padri tena mwandamizi. Nyie mnaosema "ni kijana aliyekuwa nalelewa tu" mnataka kusema polisi wamekurupuka?? Kwasababu wao ndio waliomtaja kwenye taarifa yao.

Kama wamekurupuka maana yake tusubiri waje kuomba radhi na kusahihisha makosa yao lakini kwasasa kinachosomeka ni paroko msaidizi

Hata mimi nimeona Instagram wakikoment hivyo baadhi ya watu,
Kama itakua SI kweli basi kanisa litakanusha

Na kama ni kweli basi hii Dunia sijuh hata tukimbilie wapi kama tunao waamini wanatutendea haya 😭😭
 
Msemaji wa jeshi la polisi kachemka na kwenye hili litamkosti
Aliyekamatwa siyo Paroko msaidizi na wala siyo padre.
Ni mraibu ambaye paroko msaidizi alisoma naye aliamua kumchukua parokiani ili aweze kusaidiwa.
Hivyo kumtaja kama baba padre ni watu kutokutumiza majukumu yao katika kufuatilia mambo .
Paroko anaitwa Deodatus Tibakwasa na msaidizi ni Fr.Mathias.
Kifupi katudhalilisha wakatoliki na hatasamehewa kwa hilo.
C &P
 
Watu wanacomment ooh sijui kanisa Thihaka kama zote..
Do you really think kuna dini ambayo ni proven au ni ivi ivi tunaenda kiimani.. Anyway kama ni kiimanii acheni dhihaka za kikuma viongozi wetu kwenye izo dini ni binadamu kama sisi wana mapufungufu yao vile vile.. Ishu imefanywa na mmoja basii ndo mafollower ya dini gani sijuii yanapata point KUENI NA AKILI KMMK
alafu wanasema jf ni great thinker 😅😅
 
Huyo ni padre.
Kwani Padre kufanya jinai kutabadili Imani ya kabisakua

Tulia basi kwanza, lete hiyo taarifa kinzani. Kwa sasa taarifa ya geshi letu ra porisi ni baba paroko ndio muhusika.
Baada ya kufanya haya kwahyo Kila jumapili aliendelea kuendeleza Ibadan kanisani 😥😥😥😭
 
Msemaji wa jeshi la polisi kachemka na kwenye hili litamkosti
Aliyekamatwa siyo Paroko msaidizi na wala siyo padre.
Ni mraibu ambaye paroko msaidizi alisoma naye aliamua kumchukua parokiani ili aweze kusaidiwa.
Hivyo kumtaja kama baba padre ni watu kutokutumiza majukumu yao katika kufuatilia mambo .
Paroko anaitwa Deodatus Tibakwasa na msaidizi ni Fr.Mathias.
Kifupi katudhalilisha wakatoliki na hatasamehewa kwa hilo.
C &P
Nataman isiwe kweli 😭😭
 
Kama wapo wazazi wapumbavu wanawatoa kafara watoto wao eti kisa mali wauze sura mjini, atashindwa vipi baba yake asimwe kumtoa bintie akitanguliza mbele tamaa
Speechless, najaribu to imagine wakati huyu mtoto anataka huruma ya baba yake na baba ndio anamuangamiza, anyway kwa sababu ya Utawala wa Sheria tu lakini huyu mtu ni katili saana bongodili tele
 
Mtoto analia baba baba..mama..mama..yani unaendelea tuu kushika panga sijui kisu...unapiga na kitu kizito anazimia bado nguvu unazo tuu..unaanza kukata kiungo kimoja na kingine upo tuu...hapa ndipo hata wale wanaouliza Mungu huwa yuko wapi nawaelewa...hapo ingetakiwa kutokee muujiza wa Mungu na giza totoro halafu hao watu wajikute katikati ya maji yenye mamba...
Utaambiwa Mungu alishapanga kabla iwe hivyo. Wakati mwingine hizi imani za dini ni uongo mtupu.
 
Rais Samia angalau aache legacy ya mamlaka yake ya urais kwa case hii! Asiache kutia mkono wake watakaopatikana na hatia wanyongwe; ni jukumu lake la kikatiba.

Binti Asimwe ametendewa ukatili sana - mzazi wake; kiongozi wa kiroho - angekimbilia wapi jamani kama waliopaswa kumlinda wamemtenda vile?

Binti, mtoto, mlemavu, yaani sifa zote za kulindwa alikuwa nazo ila ndio hivyo binadamu waliogeuka mashetani!
kuna wale punda wa haki za binadamu wasisikie.
 
Kuna wakati wazazi waelimishwe kufanya ukatili kama huo unagharimu maisha yake pamoja na mtoto pia anajiweka rehani.
Ili kukemea vitendo hv sheria kali zichukuliwe zidi yao pia taasisi ya haki za binadamu ipaze sauti na kuchukua sheria zidi ya wazazi hao.
Yaani umuelimishe mzazi asiue mwanawe?.. dooh!.. mimi huyo muelimishaji akija kwangu kwanza naanza na yeye!... shenzy... unielimishe mimi? Si matusi ya nguoni kabisa hayo?
 
Back
Top Bottom