Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Mtihani mkubwa huu.
 
Tusamehe mtoto wetu tulishindwa kukulinda,
Pumzika kwa amani Malaika wetu, hukua na kosa lolote, hukumuumiza mtu yoyote lakini walimwengu wamekutenda vibaya, tusamehe sana tulishindwa kukulinda, tusamehe mtoto wetu [emoji24][emoji24][emoji24]

Dunia bila wanaume inawezekana
 
Kwa hizi comments nimejifunza wa tz ni wakatili Sana , ndio maana wanaweza fanyiana vitendo vya kikatili dhidi Yao
 
Naqaza ingekuwa japo majina tu ya Waislam ndiyo wametajwa kuhusika.

Nasema majina tu, kwa sababu naamini Muislam mwenye kuufata Uislam hawezi kufanya huo ujinga hata kidogo.

JF ingekuwa hapatoshi.
 
Naqaza ingekuwa japo majina tu ya Waislam ndiyo wametajwa kuhusika.

Nasema majina tu, kwa sababu naamini Muislam mwenye kuufata Uislam hawezi kufanya huo ujinga hata kidogo.

JF ingekuwa hapatoshi.
Akili zako ziko matak.....n
 
βš–οΈJustice for Asimwe#
 
βš–οΈJustice for Asimwe#
 
Na hao pimbi walioua albino wakanyongwe.

View: https://www.instagram.com/p/C8aNJteNOE2/?igsh=cDVrNGd2bGJlemdv
Unakutana na mtu anasema muwaonee huruma wafungwa ,Huwa sielewi kabisa
 
Haiwezekani watu wakaue, wakanyofoe viungo ndiyo waanze kutafuta mteja. Kusema walikamatwa wakiwa wanatafuta mteja haiingii akilini. Bila shaka mteja walikuwa naye tayari. Napenda niamini kuwa polisi wametumia lugha ya mbinu tu.
 
Rip moto mzuri sana!

Tusamehe Tanzania na Dola yetu ilioifanya siasa kuwa kazi ya malipo makubwa sana hadi uchawi na uganga kuwa nguzo imara ya wanasiasa kwenye chaguzi!

Nataka kuona siasa inakua kazi ya kawaida sana ikizidiwa na ueledi tulionao!!
 
Tangu lini Paroko akatafuta paroko msaidizi mtu aliyesoma naye … hakuna kuficha ficha KANISA lijitafakari vetting zake … kwa sababu ya uhaba wa ma-padre mnazoa kila mtu ilimradi mkristo
 
Dah! Mkuu umewaza Nini?πŸ˜…πŸ˜…
Jamaa kawabana vilivyo. Nijuacho, kumtia matatani wanaweza wakamuunga huko. Kwetu sisi wananchi, kwa sasa tukiambiwa kifo cha Asimwe jamaa kahusika, tutaingia nginjanginja kuamini kwa vile tu jambo lenyewe hata sisi linatuumiza sana.
 
Paroko ?
 
Haiwezekani watu wakaue, wakanyofoe viungo ndiyo waanze kutafuta mteja. Kusema walikamatwa wakiwa wanatafuta mteja haiingii akilini. Bila shaka mteja walikuwa naye tayari. Napenda niamini kuwa polisi wametumia lugha ya mbinu tu.
Taarifa ya polisi ina walakini na inatia mashaka. Yawezekana wauaji halisi sio hao waliokamatwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…