Tuombe Mungu sana Mahakama isije waachia kwa technicalities kama wahalifu wengine wanavyo kwepa mkono wa sheria kwa hizo mbinu,hasa wakipata mawakili wa utetezi kama akina Kibatala!!Kuwakamata hao wahalifu ilikuwa ni kazi nyepesi sana kwa polisi.
Watu wanaoamini ushirikina huwa ni wajinga hawanaga akili ya kupanga tukio bila kuacha trace.
Nina uhakika kipindi wanamuiba mtoto walikuwa na simu zao mfukoni. Na hata kipindi wanamuua mtoto simu zilikuwepo.
Polisi hawajatumia hata nguvu ya kuwajua na hata kuwatafuta. Wamecheza na simu zao tu
Kwa vipi mkuu?Kuwakamata hao wahalifu ilikuwa ni kazi nyepesi sana kwa polisi.
Watu wanaoamini ushirikina huwa ni wajinga hawanaga akili ya kupanga tukio bila kuacha trace.
Nina uhakika kipindi wanamuiba mtoto walikuwa na simu zao mfukoni. Na hata kipindi wanamuua mtoto simu zilikuwepo.
Polisi hawajatumia hata nguvu ya kuwajua na hata kuwatafuta. Wamecheza na simu zao tu
Wamtaje mganga na tajiri aliyewatuma na wote wanyongwe ili iwe fundishoHao watuhumiwa waanze kuminywa pu*mbu wataje kila aliyehusika.
Natamani waundiwe kamati ya kuwapa mateso, Yani hizo kende zibanwe na plaizi kwanza.
Mbaya kabisa walimtoa viungo ndo wakamuua mtoto asimwe.ni maumivu makali sana mtoto alipitia kwa wauaji hawa!Tunataka kuona kideoni wakihasiwa live..maana hawana uchungu na watoto...
Nampa ruhusa waziri Masauni kuirudia kauli hii hata mara mia, na ikija kwenye utekelezaji iwe zaidi ya hapo.“Hakuna hata mmoja ambaye amehusika na mauaji ya binti huyu malaika wa Mungu atakayrepona, tumefikia pazuri na kitakachofanyika itakuwa fundisho kwa wahalifu wengine,, tupo vizuri katika kukabiliana na uhalifu na ndiyo maana hakuna mtu atakayefanya uhfifu asipatikane,” amesema Masauni
Credit: Bongo 5
Wabanwe ili waeleze walitaka kufanyia nini hivyo viungo na walitumwa na nani,hapo ndio mtaaminika mtaani...Safi sana jeshi la polisi.
Kwann wasipelelezwe kujua nani mteja wao hatua kwa hatua mpaka kuwapata wanunuzi..Tuombe Mungu sana Mahakama isije waachia kwa technicalities kama wahalifu wengine wanavyo kwepa mkono wa sheria kwa hizo mbinu,hasa wakipata mawakili wa utetezi kama akina Kibatala!!
Nashukuru wamepatikana, sasa tuoneshwe na tuwaone wakiwa hawana macho yawe yameshanyofolewa kabisa.