Kifo cha baba wa kiroho huwaacha waumini wengi njia panda

Watu weusi tujifunze kujiongoza wenyewe kiroho.

Mchungaji, sijui sheikh nao ni binadamu kama sisi.
 
Hizi imani za dizaini hii huwa ni ngumu sana, mtu anatumia gharama kubwa kusafiri kwenda kupata uponyaji kwa nabii anayevuma sana kwenye TV na redio, sasa huwa najiuliza hiyo imani ya kupata uponyaji huwa anaiweka kwa nabii au kwa Mungu anayetoa uponyaji.....unajua watu nafikiri tumekuwa na changamoto lukuki hadi akili zinapauka hatujui hata tunaamini kitu gani......
 
Ndio hapo sasa. Watu hawaamini kuwa Mungu yupo kila mahali na Mungu ni wa watu wote sio genge fulani. Imani yako tu inatosha.
 
Watu weusi tujifunze kujiongoza wenyewe kiroho.

Mchungaji, sijui sheikh nao ni binadamu kama sisi.
Kuna watu walikuwa wanamtegemea TB JOSHUA na stika zake leo hii kafa. Wamebaki njiapanda.
 
Hata huko kwingine kote duniani mambo ya dini ni hivyo hivyo tu, hakuna tofauti.
Miafiliki ni mituumua ya diinii

Utakuta mtu anahubiliwa achukukie dhehebu au dini fulani.

Mafundisho yao sio kuhubiri habari za msalaba wao ni mafanikio na miujiza.

Hawaifundishi kweli na watu waijue kweli wanafundisha waaminiwe na kuabudiwa.
 
Hata huko kwingine kote duniani mambo ya dini ni hivyo hivyo tu, hakuna tofauti.
Kuna watu walikuwa wanatoka Ulaya kumfuata TB Joshua Nigeria. Jamaa alikuwa na nguvu za ajabu
 
Back
Top Bottom