Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Ndio hapo sasa. Watu hawaamini kuwa Mungu yupo kila mahali na Mungu ni wa watu wote sio genge fulani. Imani yako tu inatosha.Hizi imani za dizaini hii huwa ni ngumu sana, mtu anatumia gharama kubwa kusafiri kwenda kupata uponyaji kwa nabii anayevuma sana kwenye TV na redio, sasa huwa najiuliza hiyo imani ya kupata uponyaji huwa anaiweka kwa nabii au kwa Mungu anayetoa uponyaji.....unajua watu nafikiri tumekuwa na changamoto lukuki hadi akili zinapauka hatujui hata tunaamini kitu gani......
Nasikia mkewe kabeba mikoba, ila imani za kizazi hiki zimekuwa changamoto kubwa sana......Kuna watu walikuwa wanamtegemea TB JOSHUA na stika zake leo hii kafa. Wamebaki njiapanda.
Nani kasema hata kuanza ujenzi wanaomba ruhusa
Mkuu alikua mke kabisa na watoto wawili tayari, ila niliona nakaribia kuua mtu. nisingeweza tena kuvumilia
Miafiliki ni mituumua ya diinii
Utakuta mtu anahubiliwa achukukie dhehebu au dini fulani.
Mafundisho yao sio kuhubiri habari za msalaba wao ni mafanikio na miujiza.
Hawaifundishi kweli na watu waijue kweli wanafundisha waaminiwe na kuabudiwa.