Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania


Ngabu I agree with you..

Na kama unakumbuka ile conversation yetu tuliyofanya nilikuambia kwa nini nilikuwa nabadili mawazo kwenye hii issue ya kifo cha Ballali. I am glad to have a future brother in law who can stand by me ....thanks!

Ukweli ni kuwa, maelezo yanayotolewa kuhusu records hizi yanaongeza zaidi maswali kuhusu majibu. Ukisikia jibu kuwa inawezekana Ballali alitumia jina la bandia kwenye matibabu unapata maswali zaidi (ingawa inaeleweka kwa nini aliamua kufanya hivyo)

Ukisikia ni kwa nini kulikuwa na conflicting story za alifia wapi na lini unazidi kupata maswali zaidi. kinachotia utata zaidi ni kutokuwepo kwa independent and reliable confirmation (toka office ya CME - DC) as of today ya kifo cha Ballali. Inawezekana kweli Ballali amekufa lakini habari hizi zina mchanganyo mkubwa sana wa kuziamini.

Mengine mengi tuko pamoja na ile safari ya Carribean bado ipo kama tulivyopanga as a family......... as longer as you are not gonna fake your death... kwi kwi kwi kwi....
 

I'm not exactly sure what you're talking about...
 

Benoir,

nina share frustrations zako na ninatumaini kuwa familia ya Ballali ambao wengi ni ndugu na marafiki zangu wanatuelewa kwenye hili. Taratibu yote yatajulikana!
 

ize ize ize... i dont think ngabu has done any of this! He is rather more to my side (of questions and frustrations) than the other side (of just letting it go)
 

Let me put this way; a public figure like Ballali and a man of that intelligence level cannot choose to fake death in US of America; he knows the consequence of such doing. The president of Tanzania, (if the Gov of Tanzania also participated in faking this death) will never choose to do so in the US of America; they are clever, they are not so stupid like us in this JF forum.
And if for sure the government agent gave him to swallow that arsenic or pollonimu pill then now they are dancing because they got us in JF discussing issues which are a waste of time!
 

Being intelligent is another reason to make fool of all of us ....including themselves (if any)!

And if for sure the government agent gave him to swallow that arsenic or pollonimu pill then now they are dancing because they got us in JF discussing issues which are a waste of time!

There are still alot of new songs in the making right now! just get your dancing shoes ready for the new kinda dance!
 

BTW, I dont know why you think that we (JF members) are stupid!
 
Kwa kadri nijuavyo mimi, katika majimbo mengi kama si yote, kuzaliwa, kifo, ndoa, talaka, kukamatwa na polisi, na mengine mengi ni public records. Sasa kama hakuna sehemu yoyote ile iwe kwa Clerk of court, coroner n.k. jina la Balali lipo kama marehemu na kwa wakati huo huo tunaambiwa kafa...sasa kwa nini hakuna rekodi zozote za kifo chake popote pale? Mimi nipo hewani....sijui hata niamini nini.

Mwenzenu hapa juzi juzi tu mimi na fiance wangu (mdogo wake na Mwafrika wa Kike) tulipoenda courthouse kuchukua marriage licence keshokutwa yake majina yetu yakatokea gazetini. Hiyo ni kwa sababu mambo kama hayo ni public record.....sasa kifo cha mtu jamani kisiwe popote pale...zaidi ya jamiiforums na magazeti ya bongo wakati kimetokea Marekani......hhhhmmmmmm
 
Nawashangaa sana wadogo zangu.

Mnataka tuamini balali kafa, sawa amekufa,

Ila mbona mnatumia nguvu nyingi kutuaminisha?

Mmemfukuza jmushi1 kwa matusi, eti kwa kuwa anatujuza

Nimegundua ninyi mnaotetea kuwa baba yetu kafa mnalo la ziada.

Mkutane na mkono wa bwana wetu.
 

wewe nawe,

nani amemfukuza mushi?
 
wewe nawe,

nani amemfukuza mushi?


Kama si kumfukuza ni nini basi? watu wanaanza kutoa matusi ili iweje jamani?
sote tunaamini kuwa hapa ni sehemu kutoa hisia zetu
nimekuwa nikifuatilia mjadala ktk thread hii uliyoileta hapa nimegundua watu wengine wanalazimisha moja iwe mbili
 
Kama si kumfukuza ni nini basi? watu wanaanza kutoa matusi ili iweje jamani?
sote tunaamini kuwa hapa ni sehemu kutoa hisia zetu
nimekuwa nikifuatilia mjadala ktk thread hii uliyoileta hapa nimegundua watu wengine wanalazimisha moja iwe mbili

Watu kibao hapa wanatukanwa na life inaendelea kama kawaida. hakuna mtu anayekimbia fight eti kwa vile kuna watu wamemtukana. Hiyo ingekuwa kesi wengi wetu tusingekuwa hapa leo hii.
 
Watu kibao hapa wanatukanwa na life inaendelea kama kawaida. hakuna mtu anayekimbia fight eti kwa vile kuna watu wamemtukana. Hiyo ingekuwa kesi wengi wetu tusingekuwa hapa leo hii.


Mwk

Hebu inafikia wapi mtu mzima amtukane mwenzake? tena asiyemjua? lakini hii mada inaonekana kama ina nguvu ya hoja, kwani mtu kama Jasusi kutoa lugha chafu si vema hata kidogo.

Mwk tushike wapi sasa,kwani hatuana huhakika wa jambo hili, mijamaa imeshatupiga bao, Daaaaaaa!!!! hii si hatari ndugu yangu?

watoto wetu wataendelea kukosa panadol kwa sababu yao, eeee!!!!! Mungu tusaidie.
 

Gazeti gani hilo? Local Parish Newsletter au The County Times?
 

Hii issue ni very emotional kwa mtu kama Jasusi. Kama ni kweli ndugu yake amekufa na sisi hapa tunatoa haya maneno na wengine hata kuulizia huo uhusiano wa Ballali na mkewe ulianza vipi inaweza kuwa inamuumiza sana.

Sitetei ila sishangai kwa vile alivyofikia kusema alichosema. Jasusi na wengine wanaoamini kifo cha Ballali hawana kosa lolote kueleza msimamo wao hapa JF. Jasusi tumetoka naye mbali na si mtu wa kutoa lugha kama hiyo aliyotoa hapa.

Having said that, usidhani kuwa kupotea au kufa kwa Ballali ni mwisho wa yote yaliyotokea BoT. Kina Mramba na Mgonja wote siku zao zinakuja na sio tu kwamba sasa wamemwaga mafuta kwenye moto, wao wenyewe wamejimwagia super premium grade gas na ni suala la muda kabla hawajachomeka.
 

Mkuu YNIM, kwa mujibu wa CME office ya DC, Habari ya kifo chenye mazingira ya Ballali ni open to the public kama zikiombwa na yeyote yule na hazihitaji any court order to get them.

Ni kweli kuwa si lazima ziwe gazetini lakini kokote zilipo ni public information na zinaweza kuombwa kutolewa. Uthibitisho wa kuwa kifo kimetokea au la hauitaji amri ya judge na wala hauhitaji kuchukua wiki kibao ili kuthibitisha. Kutaka kujua ni nini kilimuua ndio inaweza kuhitaji kupitia process.

So far kilichofanyika kwenye uchunguzi hapa ni kujua kama kuna records za kifo au la. Hilo la kujua nini kimemuua halikuwa sehemu ya uchunguzi.
 

Hapa Uk mpaka mbunge alishafake kifo ndio awe Ballali? Labda utaambie hata UK ni Banana republic.

Kwa case ya Ballali ni rahisi zaidi kwasababu hakuna anayemtafuta. TZ iliyotakiwa kumtafuta ndio wahusika kwenye kumpoteza.

Watu huku majuu wamefake vifo mpaka kulipwa na insurance companies, kama ingelikuwa ngumu hivyo basi watu wa mwisho kulipa mapesa wangekuwa hao insurance companies.
 

Mazingira ninayozungumzia hapa ni haya yaliyotolewa kuwa Ballali alifia nyumbani kwake (yamewekwa hapa na ndugu zake Ballali) .... Soma hiki ambacho kinaileta office ya CME kwenye kifo cha Ballali:

Investigates and certifies all deaths in the District of Columbia that occur as the result of violence (injury) as well as those that occur unexpectedly, without medical attention, in custody, or pose a threat to public health
.

Hiyo ni kwa mujibu wa office ya CME. Asante kwa offer ya senti za kusaidia kwenye hili mkuu. Ikihitajika kuwa tutumie PI kujua hili basi nitakuambia. Kwa sasa nasubiri kuona labda kutakuwa na update ya report za kifo cha Ballali ili kuthibitisha kifo chake kwenye independent na reliable sources - Govt offices
 

Soma tena yaliyoandikwa na familia ya Ballali uone kuwa ilisemwa kuwa Ballali alikuwa anaishi DC kwenye walking distance ya hospitali ili apate matibabu hospitali. Hayo ya visiting nurse yote nayajua ila ninayachukulia maneno ya familia ya Ballali.

Kama Ballali alikuwa kwenye walking distance ya hospitali, basi inamaanisha kuwa alikuwa akienda hospitali kutibiwa na kama unakumbuka ile habari ya Ballali kuwa na life support nyumbani kwake ilipingwa hapa JF. Ohh kumbuka pia kuwa imesemwa hapa kuwa lilitumika jina fake kwa usalama wake.

Mtu yeyote akifia nyumbani bila medical attention (kwa mujibu wa habari za kifo cha Ballali zilizotolewa hapa) inabidi kifo chake kithibitishwe na hii office ya CME kwa DC (inajulikana kama coroner office au whatever kwenye States zingine). Ok, nilichochunguza mimi na kupata ni nothing kwenye records au reports za kifo cha Ballali kwenye office ya serikali inayohusika.

Kumbuka kuwa kama hii story ya Ballali itabadilika (kama ambavyo imekuwa inabadilika hapa JF) na kusema vingine kuhusu mazingira ya kifo chake basi na mimi nitaadjust mbinu zangu za ufuatiliaji. So far wamesema kuwa alifia home baada ya kuzidiwa na sio hospitali - kitu ambacho kinamuhitaji CME kuthibitisha kifo chake - kama hospitali au dakitari wake hajafanya hili.

Natumaini wewe utajua zaidi process ya kuita kifo cha mtu (make a call of the death, time and day) zinazofanywa kwenye sekta ya afya kama mmoja wa wataalamu kwenye hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…