Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Sister girl, you are my favorite person. My frustration on this whole thing is not aimed at you. Afterall, how can I do that to my future sister in law? That's a no no!! My beef is with whoever led you and others to think that he's dead while some of the records that establish a persons death contradict with what we've been told. So my question is still: Which is which? Najua uko makini sana na huwezi tu kukurupuka bila sababu. Na sababu hapa umeilezea vizuri kabisa na hata mimi mwenyewe najiuliza maswali hayo hayo unayojiuliza wewe (great minds think alike....kwikwikwiii). Kwa hiyo bibie, frustration zangu zinaelekezwa kwa chanzo au vyanzo vya habari hii. Na kama Balali ndiye chanzo, then yeye ndiye wa kulaumiwa and you better believe I'll jump on him like never before.
Ngabu I agree with you..
Na kama unakumbuka ile conversation yetu tuliyofanya nilikuambia kwa nini nilikuwa nabadili mawazo kwenye hii issue ya kifo cha Ballali. I am glad to have a future brother in law who can stand by me ....thanks!
Ukweli ni kuwa, maelezo yanayotolewa kuhusu records hizi yanaongeza zaidi maswali kuhusu majibu. Ukisikia jibu kuwa inawezekana Ballali alitumia jina la bandia kwenye matibabu unapata maswali zaidi (ingawa inaeleweka kwa nini aliamua kufanya hivyo)
Ukisikia ni kwa nini kulikuwa na conflicting story za alifia wapi na lini unazidi kupata maswali zaidi. kinachotia utata zaidi ni kutokuwepo kwa independent and reliable confirmation (toka office ya CME - DC) as of today ya kifo cha Ballali. Inawezekana kweli Ballali amekufa lakini habari hizi zina mchanganyo mkubwa sana wa kuziamini.
Mengine mengi tuko pamoja na ile safari ya Carribean bado ipo kama tulivyopanga as a family......... as longer as you are not gonna fake your death... kwi kwi kwi kwi....