Salaam, Shalom!
Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.
Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.
Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na mkataba wa mtangulizi ilikuwa ni hizo hizo kilometa kumi.
Swali:
1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?
2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Ama kweli, kifo Cha dereva kimewavuruga waliobakia.
Ngoja vumbi litulie, labda tutaweza kuona vizuri.
Adieu!