Kifo Cha dereva, kimewavuruga waliobakia, Unatamani kugombea Ili iweje?

Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Kwa sababu mwanzo nilimalizia safari kama kondakta baada ya dereva kuishia njiani sasa mimi nimejipanga na leseni yangu ya udereva hivyo basi nataka kuianza safari yangu ya kilomita kumi kama dereva kamili na hakuna wa kunizuia
 
SI waende kujiajiri?

Mbona Kila siku wanasimama majukwaani kutwambia tujiahiri au twende veta baada ya kugraduate degree?
Mwanasiasa ni bingwa wa kuuza maneno , bila kuuza maneno kuwa mwanasiasa ni ngumu sana
 
Kwa sababu mwanzo nilimalizia safari kama kondakta baada ya dereva kuishia njiani sasa mimi nimejipanga na leseni yangu ya udereva hivyo basi nataka kuianza safari yangu ya kilomita kumi kama dereva kamili na hakuna wa kunizuia
Kondakta hakuwa na leseni,

Alipewa tu sababu ya uzoefu na mazingira ya msiba,

Sasa badala ya kukabidhi gari, unangangania usukani Ili iweje?
 
1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?

2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Nimekuelewa mzee ni namba moja ni pm namba mbili ni prezidaaaa
 
Hayo ni maoni yako,

Na kuna Kila dalili, umekosea😃
Umejiongeza chap🤣🤣🤣🤣
20250627_091656.jpg
 
Kondakta ameona utamu wa kuwa dereva sasa ataachaje utamu wa udereva njiani mizigo yote anabeba na kula posho.

Namkumbuka frouk topan katika kitabu chake cha aliyeonja pepo bwana mmoja alikufa kimakosa kufika peponi akaambiwa anatakiwa kurudi duniani kwani alikufa kimakosa muda wake ulikuwa bado jamaa akagoma kurudi duniani kwani aliona utamu wa huko peponi

Sasa narejea kwenye mada kondakta alipata udereva kwa bahati mbaya kakutana na raha ya kuwa dereva .

Afe kipa afe beki lazima aendelee
 
Tatizo ni kwamba Dere alikua kilaza ila alificha Uchoko mwingi wa Kondakta na Kiranja wake kujichotea misifa kwa abilia.
 
Salaam, Shalom!

Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.

Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.

Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na mkataba wa mtangulizi ilikuwa ni hizo hizo kilometa kumi.

Swali:

1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?

2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?

Ama kweli, kifo Cha dereva kimewavuruga waliobakia.

Ngoja vumbi litulie, labda tutaweza kuona vizuri.

Adieu!
UJINGA GANI HUU TENA JAMANI HUYU KALA MAHARAGE YA WAPI ANAJAMBA USHGUZI UNAONUKA HIVIIIIIIIII?
 
Salaam, Shalom!

Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.

Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.

Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na mkataba wa mtangulizi ilikuwa ni hizo hizo kilometa kumi.

Swali:

1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?

2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?

Ama kweli, kifo Cha dereva kimewavuruga waliobakia.

Ngoja vumbi litulie, labda tutaweza kuona vizuri.

Adieu!
Tatizo ni mfumo mbaya ndio maana tunataka reforms zifanyike.
 
Attachments

  • 20250623_140146.jpg
    20250623_140146.jpg
    71.5 KB · Views: 17
Salaam, Shalom!

Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.

Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.

Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na mkataba wa mtangulizi ilikuwa ni hizo hizo kilometa kumi.

Swali:

1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?

2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?

Ama kweli, kifo Cha dereva kimewavuruga waliobakia.

Ngoja vumbi litulie, labda tutaweza kuona vizuri.

Adieu!
We kibwengo hizo akili zako zina mavi isafishe kwanza. Samia was a co-driver, dereva mwenza siyo kondakta acha uzwazwa. Unaandika uharo huu bila ht haya? Magufuli alizunguka na Samia nchi hii kuomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka 5 kuanzia 2020. Walipopewa ridhaa Samia ndiyo akawa Rais mwenza, Magu aliendesha km ni gari kwa Km 0.4 (400m) tu, Samia ameendesha kwa Km 4.6 akiwa km dereva mwenza. Hayo mengine ni kutokana na upumbavu wako aidha kutokujua au kujaribu kumtweza mheshimiwa sana Rais wetu Samia.
 
We mbwa koko huu uchafu mtumie mamako, pumbav lisilo na haya, kwanza kilaza mshamba hujui ht kuandika.
 
Una kipaji kikubwa sana cha mafumbo hiki kipaji unatakiwa ukilinde nenda kaonane na malkia wa Mipasho akupe chorus kwenye wimbo wa taarabu
Huo uchafu ni kipaji? Kwl vijana wa sasa wana udumavu wa akili, hpo fumbo liko wapi zaidi ya matope
 
We kibwengo hizo akili zako zina mavi isafishe kwanza. Samia was a co-driver, dereva mwenza siyo kondakta acha uzwazwa. Unaandika uharo huu bila ht haya? Magufuli alizunguka na Samia nchi hii kuomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka 5 kuanzia 2020. Walipopewa ridhaa Samia ndiyo akawa Rais mwenza, Magu aliendesha km ni gari kwa Km 0.4 (400m) tu, Samia ameendesha kwa Km 4.6 akiwa km dereva mwenza. Hayo mengine ni kutokana na upumbavu wako aidha kutokujua au kujaribu kumtweza mheshimiwa sana Rais wetu Samia.
Hii comment yako ianzishie Uzi🙏

Maana unaandika vitu usovijua ukitajataja majina ya watu wasiotajwa kwa thread hii.
 
Back
Top Bottom