saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Takataka nyingine
Takataka nyingine
Konda hakuwa na leseni zaidi ya utundu wa kuendesha akiwa garageHivi makondakta wanakuwa na leseni? Tumshukuru Mungu kama bus lilifika salama inatosha, atafutwe dereva mzoefu aendelee na kazi !
Mbona ulikwepa kwenda kwa vehicle kufanyiwa test?Kwa sababu mwanzo nilimalizia safari kama kondakta baada ya dereva kuishia njiani sasa mimi nimejipanga na leseni yangu ya udereva hivyo basi nataka kuianza safari yangu ya kilomita kumi kama dereva kamili na hakuna wa kunizuia
Kwa sababu najiamini na uwezo wangu test ya nini sasaMbona ulikwepa kwenda kwa vehicle kufanyiwa test?
Hata kama ni Tingo,leseni si ninayo!Salaam, Shalom!
Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.
Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.
Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na mkataba wa mtangulizi ilikuwa ni hizo hizo kilometa kumi.
Swali:
1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?
2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Ama kweli, kifo Cha dereva kimewavuruga waliobakia.
Ngoja vumbi litulie, labda tutaweza kuona vizuri.
Adieu!
Wengi watapukutishwa.Salaam, Shalom!

Tupo watu tusiopenda lawama hiyo nafasi nikipewa then ikaonekana nimeshindwa Basi nitumuachie anayeweza .Maslahi mkuu , hata kama ndio mimi nikapata hiyo nafasi sitoki , labda mpige judo kama hawa🤔View attachment 3385470
Angalia movie ya final destination bwashee Vincenzo JrTupo watu tusiopenda lawama hiyo nafasi nikipewa then ikaonekana nimeshindwa Basi nitumuachie anayeweza .
Ya kula kwa urefu wa kamba ni mara elfu ya hiyo 80%.Bt wanalipwa 80% ya mishahara yao Hadi umati uwakute!
Sasa shd ni Nini?
.1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?
2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
.UJINGA GANI HUU TENA JAMANI HUYU KALA MAHARAGE YA WAPI ANAJAMBA USHGUZI UNAONUKA HIVIIIIIIIII?